Kwa wale wanao hitaji power bank

Kwa wale wanao hitaji power bank

Bizney

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
454
Reaction score
48
Ngugu wana Jf

Kwa wale watumiaji wa simu za simart phone ninazo power bank ukubwa na bei ni kama ifuatavyo. 12000mah utapata kwa sh. 45000 na ya ukubwa wa 14000mah utapata kwa sh.55,000 ina warranty ya mwezi mmoja. mawasiliano 0773 944 944

Pia zipo Extenal battery cover Galaxy s2,s3,s4.
 
Pia zipo Laser Case Cover ambazo zina battery ndani yake. zilizopo ni s2,s3 na s4.
 
Mkuu nahitaji powerbank moja wapatikana wapi kwa dar
 
Nikon Arusha kwa massage backache,naweza pata wapi?
 
Pole na majukumu Ndugu, kama ni Arusha ni vyema ukiwa na mtu hapa Dar nimpatie na yeye atume kwako.
 
Back
Top Bottom