Kwa wale waliowahi kufanya interview TRA pitia hapa

Please Utumishi huwa hawatoi Maswali ya General wanatoaga ya Professional

Pia TRA wenyewe huwa hawatoi Maswali ya General Make wangu alipiga mwaka 2015 ni Darasani tuu mzee.

Watu mnapenda sana Mitihani ya General narudia pepa mnazopiga Kwenye financial institutions ni tofauti na Utumishi.

Shika ACT
Shika Calculator
Shika Kalamu

Jiandae na Usaili na kama huna knowledge ya Tax umeshachelewa you huwezi kujiandaa kwa sasa ukafaulu.

-Tax ni kubwa sana Study material
-NBAA public finance &Taxation 1
-NBAA-public finance &Taxation 1
-Income Tax 2004 Revised 2008
-VAT Act 1997 Revised 2014
-Public Finance Act 2017
-The Tanzania Revenue Act
-Tanzania Tax Administration Act
-EFD regulations Act
-The East African Customs Management Act 2004
-Motor vehicle Act
Usisahu Kusoma
-Khothari- Research Methodology.

Ni ngumu sana kwa mtu uliyekua husomi niliona wajanja wali appload material wakawa wanasoma baada ya Ku apply itawasaidia kidogo.
 
asante sana mkuu, nmekuelewa
 
Bora professional kuliko general

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haa unasoma ili kaka watu hawacomplicate maisha sasa hayo material Si semester nzima chuo, Life is too simple nimefanya huko interview mwaka Fulani ni simple sana soma just general knowledge ya kodi basi mengine waachie macomplicate wao huwa interview hawafaulu labda za kufundisha vyuo wanapewa kulingana na huruma za maksi walizopata
 
Hizi Ndo akili Finyu Tunazozipigia Kelele mtu alifanya Interview mwaka 2005 ambapo wasailiwa walikua 120 anakuja analinganisha na Mwaka 2017 ambapo wameita Wasailiwa 29,700

Katika watu 29,700 nawaambia Mtihani lazima Uwe Competitive usibweteke Pepa Itakua ngumu we Mwenyewe haushangai Watu 29,000 interview hii imevunja Record.
 
Wakuu mfano mtu amekua shortlisted kwenye position mbili tofauti anaruhusiwa kufanya zote mbili?
 
Haa unasoma ili kaka watu hawacomplicate maisha sasa hayo material Si semester nzima chuo, Life is too simple nimefanya huko interview mwaka Fulani ni simple sana soma just general knowledge ya kodi basi mengine waachie macomplicate wao huwa interview hawafaulu labda za kufundisha vyuo wanapewa kulingana na huruma za maksi walizopata
Mkuu utumishi sasa hivi hawana mzaha usiwapotoshe, kama mchakato unafanywa na utumishi naomba wamsikilize Troll JF hao jamaa watauliza maswali ya kiprofessional kama yale ya kuwa certified na hizo profession, more practical in the industry na ile midude ya darasani. Kama ulifanya interview 2014 au 2015 mambo sasa yamebadilika sana tena sanaa. uzuri ni kuwa kuna uwazi wa hali ya juu yaani fair and square.
 
Nyongeza GUSSIE hao vijana wakapitie vitu vyo vilivyoainishwa ktk tangazo husika kama sifa za hiyo nafasi. Wakisema ujue kitu flani, ujue software flani labda ya Tally basi ujue hasa maana watakuuliza maswali ya theory na practical zake. Kila heri vijana.
 
Please Utumishi huwa hawatoi Maswali ya General wanatoaga ya Professional

Pia TRA wenyewe huwa hawatoi Maswali ya General Make wangu alipiga mwaka 2015 ni Darasani tuu mzee.

Watu mnapenda sana Mitihani ya General narudia pepa mnazopiga Kwenye financial institutions ni tofauti na Utumishi.

Shika ACT
Shika Calculator
Shika Kalamu

Jiandae na Usaili na kama huna knowledge ya Tax umeshachelewa you huwezi kujiandaa kwa sasa ukafaulu.

-Tax ni kubwa sana Study material
-NBAA public finance &Taxation 1
-NBAA-public finance &Taxation 1
-Income Tax 2004 Revised 2008
-VAT Act 1997 Revised 2014
-Public Finance Act 2017
-The Tanzania Revenue Act
-Tanzania Tax Administration Act
-EFD regulations Act
-The East African Customs Management Act 2004
-Motor vehicle Act
Usisahu Kusoma
-Khothari- Research Methodology.

Ni ngumu sana kwa mtu uliyekua husomi niliona wajanja wali appload material wakawa wanasoma baada ya Ku apply itawasaidia kidogo.
Mkuu kuna mtu nilimwambia kitu kama hiki wakati anatuma application ya hizi kazi, sijui kama alifuata ushauri wangu. Nilimwambia soma kuanzia siku umeona tangazo na kuweka nia ya kuomba hizi kazi vinginevyo you are done and finished utawachukia Utumishi for the rest of your up coming job applications and their interviews.
 
Please Utumishi huwa hawatoi Maswali ya General wanatoaga ya Professional

Pia TRA wenyewe huwa hawatoi Maswali ya General Make wangu alipiga mwaka 2015 ni Darasani tuu mzee.

Watu mnapenda sana Mitihani ya General narudia pepa mnazopiga Kwenye financial institutions ni tofauti na Utumishi.

Shika ACT
Shika Calculator
Shika Kalamu

Jiandae na Usaili na kama huna knowledge ya Tax umeshachelewa you huwezi kujiandaa kwa sasa ukafaulu.

-Tax ni kubwa sana Study material
-NBAA public finance &Taxation 1
-NBAA-public finance &Taxation 1
-Income Tax 2004 Revised 2008
-VAT Act 1997 Revised 2014
-Public Finance Act 2017
-The Tanzania Revenue Act
-Tanzania Tax Administration Act
-EFD regulations Act
-The East African Customs Management Act 2004
-Motor vehicle Act
Usisahu Kusoma
-Khothari- Research Methodology.

Ni ngumu sana kwa mtu uliyekua husomi niliona wajanja wali appload material wakawa wanasoma baada ya Ku apply itawasaidia kidogo.
acha kutisha watu...kuna watu wa land management na economics mule hizo acts wamezisomea wapi?
 
Anamaanisha hao watu wa land wajiandae hasa kwenye mambo yao na sheria mpya za kodi ya ardhi n.k. Ile mifano tu.
 
Kwa sasa ni kipi kitachoweza kutusaidia wakuu... Ukisema tusome mavitu ya VAT A act wengine ndo kwanza tunayaona.. tusaidieni mawazo mtaani pagumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa ni kipi kitachoweza kutusaidia wakuu... Ukisema tusome mavitu ya VAT A act wengine ndo kwanza tunayaona.. tusaidieni mawazo mtaani pagumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimu ujiamini kwanza. Pili jiandae kisaikolojia kukutana na umati wa watu watakaokuja kwenye interview inakatisha tamaa lakini huwezi amini unaweza ukajikuta upo top 3 wanaoingia round ya pili ya interview. Bahatisha kusoma mambo yako uliyosomea chuo unaweza ukakutana na maswali kibao ktk interview.
 
Back
Top Bottom