kwa wale waliowahi kuosma SUA na wale mnaoendelea na Masomo katika chuo kikuu cha Kilimo, SUA Naomba kuuliza je, hapo chuoni wanaruhusu kuhama kozi/degree programme yaani kutoka kozi moja unayokuwa umepangiwa awali kwenda kozi nyingine?
karibuni watu Wa SUA, Najuwa humu jf mpo wengi sana
karibuni watu Wa SUA, Najuwa humu jf mpo wengi sana