Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Kwa wale wa Lighano, bado namchukia sana Father Chilewa, ila Nchimbi (pope) alikuwa poa sana. Da! Ila sitakaa nisahau Father Deo Mapunda (RIP) alivyotuchimbisha miti wakati wa kutengeneza mashamba mampya. Ila tuliiba sana kuku na kuwachinja na kuwabanika usiku wa manane. Maisha ya seminari yalikuwa na raha na karaha nyingi sana. But thanks GOD ndio yamenifanya nijue maisha na kuwa na elimu isiyo na mgogoro
Fr Chilewa alikufanyany? Mbona alikua poa tu. Maisha ya seminary ni raha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyie waseminary wa kikatoliki wengi wenu ni wajinga na wapumbavu kabisa, huku chuoni ndio mnongoza kwa ufuska, hamsali tena eti mshasali sana, waoga kumkiri kristo hata wengine hamtaki kujiita wakristo, huu ni unafiki na uzandiki, kanisa limewapa elimu bora badala ya kuitumia kulisaidia kanisa na taifa mmekengeuka, badilishen njia zenu na muungame mmurudie kristo, anaebisha juu ua haya tafadhali awaangalie WENGI wa waseminary waluoko vyuoni ni aibu kubea kwa kanisa katoliki.
Jamani mbona una hukumu hivi mkuu....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BREVIARY
As for you, little child,
you shall be called a prophet of God, the Most High.
You shall go ahead of the Lord
To prepare his ways before him.
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wa Lighano, bado namchukia sana Father Chilewa, ila Nchimbi (pope) alikuwa poa sana. Da! Ila sitakaa nisahau Father Deo Mapunda (RIP) alivyotuchimbisha miti wakati wa kutengeneza mashamba mampya. Ila tuliiba sana kuku na kuwachinja na kuwabanika usiku wa manane. Maisha ya seminari yalikuwa na raha na karaha nyingi sana. But thanks GOD ndio yamenifanya nijue maisha na kuwa na elimu isiyo na mgogoro
😁Yule father alikua na tabu yake pia na raha yake,,saizi yupo ufilipino
 
seminarin raha bana acha kabisa!nimepamiss stella matutina(ligano) class letu lilikua ful utani!nimeyamiss sana maisha yaseminary yani ful discipline,utani kwasana plus fr.wetu huyu clarence chilewa ful raha!i miss those joyful moments in seminary....
😁😁😁
 
T.Y.K.

Nimewakumbuka Sana Ndugu Zangu!! Nilikuwa Jangwani Kipindu chote hiki na mamonaki wengine nikitafakari Makuu ya Mungu!!! Nimerejea Tena Ndani Ya Jamii Forum
 
Back
Top Bottom