Tumsifu Yesu Kristu.......... jamani mpo na maisha yanaendaje ebu tukumbushane yale maish8a wakati ule tupo kitaluni kule seminarini, mambo ya masifu ya asubuhi, misa takatifu, joint masses n.k. Hakika nimeyamisi sana yale maisha visiga seminary,st.peters seminary,st.james sem,uru seminary,maua seminary,likonde sem,stella matutina(ligano),kasita sem,don bosco sem,bihawana sem,lubya sem,itaga sem...n.k...na enzi zetu nakumbuka tokeo la form four na form six yani seminary zilikuwa ziking'aa...nimekumbuka sana seminar´..
kaka tupo tunapitia kwanza threads nakumbuka enzi za nzigirwa na father james maisha yalikuwa poa sana, baadaye akaja fr. Mambo maisha yakabadirika,rip faher Mambo.Mbona St.MAJUSE VISIGA SEMINARY siwaoni humu
Shule za mchangani hizi hatutaki majadiliano yenu wezi wa mitihani
Big T......hasa mambo ya mzee mbundu na ushirika.
binafsi ni tunda la Maua Seminary.....nayamiss sana maisha ya wakapuchin. proudly seminarian
mseminari hivi leo upoje mkuu.....
St. Pius X, Makoko Seminary, enzi za wapishi "Keya" na "Mwafirika"
Nipitia posts zote sijaona wale wa SANU Seminary (St Joseph Mbulu).
Vipi huko kukoje?
Nilipita pale for 6yrs enzi za Rector Fr. Bilos (RIP),. Kweli maisha yale ni tofauti kabisa. Wapi Sr Bondia?