Loh tayari mbona tangu saa kumi saivi nna amani! Bajeti ilinichanganya mno walevi tumezidi kukamuliwa vimkoko vyetu navyo road license juu petrol nayo tutachangia sh 50 kwa litre kwa ajili ya umeme vijijini
Sasa we mbona unaanza umbea ndugu yangu, sasa unamwambia nini tena kwa kilugha mwenzako anataka faraja. Na wewe kausha nitakupa trip uende Merekani ukatalii Great Grand Canyon na mkeo. Una watoto wengi?
Nateseka kweli Natamani kiroba kipoze koo langu lakini nimemeza fragile jana nilikula kongoro mahali likaniletea shida kweli Yani Nimelala karibu na mlango wa maliwato