Kwa wale waliofanikiwa kufaulu oral utumishi

Elewa kuwa kushinda usaili wa mazungumzo sio lazima uwe umejibu maswali yote.

1. Kuwa ni mwenye kujiamini, hakikisha unajibu unachojua na unamaanisha yani kuwa na uhakika na unachhokisema acha kutetema

2. Ongea ukiwa unamuangalia aliyekuuliza swali usipepese macho hovyohovyo

3. Umeambiwa toa pointi 5 hata ukijibu 3 kwa ufasaha wewe ni mshindi

Na mengine mengi....
 
Duuh kidogo umenipa moyo wa kuendelea kusubili nilipiga Oral ya MKURABITA mpaka leo hawajatoa jina la mshindi ila wako vizuri jamaa hawapepesi macho.
 
Habari wakuu,

Naomba kuuliza kwa wale waliofanikiwa kufaulu oral interview utumishi na kupata kazi, je, mlijibu maswali yote kwa ufasaha?
Kapambane sasa Mkuu uwe Testimony kwa wengine na wewe hapa jukwaani Hongera.
 
Utumishi wanakuwa fair kwa taasisi zisizo na maslahi mazuri, zinapokuja taasisi zinazolipa vizuri Hawa jamaa huwa Wana figisu Sana....
Mkuu hapo umemaliza kila kitu.
Ukiona kazi kiurahisi kupitia utumishi Basi ujue hyo kazi haina maslah.
Kazi za kwenye taasisi nyeti watu wanawekana sana.
 
Yeah ni kweli nina jamaa yangu pia kapata kupitia UTUMISHI bila kumjua mtu ila haifanyi kuupinga ukweli huu wa baadhi ya TAASISI jamaa bado hawako fair.

Na hata ukicheck Wengi hutupwa HALMASHAURI na TAASISI ambazo hazina maslahi.
Yaani hii naamini kwa asilimia zote
 
Mkuu hapo umemaliza kila kitu.
Ukiona kazi kiurahisi kupitia utumishi Basi ujue hyo kazi haina maslah.
Kazi za kwenye taasisi nyeti watu wanawekana sana.
Hebu nisaidie kujua taasisi zenye maslahi na zisizo na maslahi..Je TBS,Muhimbili National Hospital,NHIF kwa mfano ziko group gani?
 
Pia inategemea na position ya mtu kwa mfano unaweza kupata kazi TBS lkn ukawa secretary tu.
 
Basi kuna mdau kaipata na hamjui mtu utumishi wala TBS kwenyewe
Huyo mdau ni wewe mwenyewe?Kama sio ww usiiongelee kabisa coz kwenye mambo ya kazi Kuna mambo mengi sana mkuu.
Hata mm mwenyewe rafiki zangu wengi wameajiriwa vitengo mbalimbali kuanzia Tanesco,TPDC,TBS lkn ukiwauliza walifanyaje wakapata hawakwambii.
Mimi ndani ya miaka 4 nimekuwa nikifanya interview sehem mbalimbali Tanesco nilifanya mara 2,TPDC mara 1,Tanroad mara 1 na karibu zote huwa napita hatua zote za mchujo lkn baada ya kufanya oral wote hatupati mrejesho.
 
Huyo mdau ni mimi mkuu

Utumishi nafasi za mashirika makubwa hawatoi nafasi kwa wanyonge ata siku moja. Nimeshapiga oral KADCO, TPA, NGORONGORO Juzi zote zimesimamiwa na utumishi lakini nina ushaidi kama pale ngorongoro kuna mfanyakazi wa utumishi ndio wamempa kazi, pale
TPA pia kuna jamaa alikuwa anafundisha chuo cha utumishi wamempa kazi wote walikuwa na uhakika wa kazi. Na izi za TAA. Kuna watu wameanza kugawana.. Yetu macho kama huamini acha..
Aiisee kama wanawekana adi za security officer basi wanyonge tutaendelea kutubu mpka siku ya mwisho
 
Pia inategemea na position ya mtu kwa mfano unaweza kupata kazi TBS lkn ukawa secretary tu.
Wewe jamaa sijui unaelewa maana halisi ya taasisi yenye maslahi, ana unaelewa vipi kuhusu maslahi ya taasisi ya taasisi? Unadhani ni kwa mameneja na officer wa juu tu? Kwa taarifa Kuna taasisi security guard tu anakula zaidi ya 1.5m kwa mwezi
 
I know
 
Back
Top Bottom