Kwa wale waliochaguliwa Cuhas..

Kwa wale waliochaguliwa Cuhas..

Arlnorldiey

Member
Joined
Oct 9, 2015
Posts
15
Reaction score
6
....1st wote kwa kozi zote mliochaguliwa cuhas karibun hapa tujuzane vitu mbali mbali kuhusu chuo hiki.....karibun...
 
Chuo kipo mkoani Mwanza hapo Hospitali ya Rufaa Bugando

Chuo kinafunguliwa tarehe 26 na 27 October na 28 usajili unaanza rasmi

Mwanafunzi anatakiwa afike na vitu vifuatavyo

:Vyeti vyako halisi vya form 4 na form six (au result slip)
😛icha za size ya pasport mbili
:Medical report form iliyojazwa na tabibu aliyesajiliwa na anaetoka kwenye hospitali(taasisi) inayotambulika

Malipo:
Direct cost ni shilingi za kitanzania 485,000 kwa mchanganuo huu
Registration fee. 10000
I'd Card. 5000
Caution money. 50000
Student union. 20000
Examination fee. 150000
Medical capitation. 200000
Sustainability fee. 30000
TCU Quality Assurance 20000

Jumla kuu ni 485000

Ada ni 4,150,000 na Special faculty requirements ni 150000 jumla ni 4,300,000

Wanafunzi wanaonufaika na HESLB watahitajika kuongezea sh. 1,050,000 aidha kwa pamoja au nusu nusu(525,000) kila semester

Hostel:
Hostel zinapatikana kwa gharama ya 480000 kwa mwaka inaweza kulipwa yote au kwa installments

Pesa zote zilipwe kwenye account ya chuo CRDB
Branch: Mwanza
Account name:Cuhas
Account number:01J1054045500
 
Shkamoo mkuu.. "
 
Shkamoo mkuu.. "

....ahsante mkuu..bt hyo ya kuongezea kwenye ada kama unapokea mkopo kutoka heslb hua inafuatana na mkopo uliopewa na mara nying kila mwaka wanatofautiana kiwango...though range haibadiliki sana ..n mule mule...
 
Back
Top Bottom