Kwa wale wa The new miono high school

Ally96

Member
Jul 16, 2013
32
4
Habarini za kwenu wandugu,
jana nmetoka huko kuona hiyo shule ukizingatia n mpya so nlienda kuiangalia ipo vipi jaman kama umechaguliwa huko usithubutu kuhama au kuacha kwenda in short shule inadhaminiwa na wabelgiji na ina kila facilities ambazo shule hata za private hazina acha niwatajie kidogo nnazozikumbuka
1.laboratories tatu zenye kila kitu kuanzia preparation room,store,chemicals,nk
2.computer room with full internet connection
3.modern library
4.school hospital
5.madarasa yote yapo full equiped feni kila kona madawati yote mapya
6.bwalo la chakula lenye uwezo wa kubeba wanafunzi mia tisa
7.conference room yenye uwezo wa kubeba 900 students
8.hakuna sehemu unakanyaga chini kila sehemu imepigwa rafu na juuu yake paa limepita hadi mabwenini
9.viwanja vyote vya mpira tena na jukwaa la watazamaji
JAMAN N VINGI NA MIKONO ISHAANZA KUNIUMA
10.kama unatokea dar ukishavuka wami kituo kipo kwa juu tuu kinaitwa mandela ukisshashuka unaweza pata bodaboda waambie unaenda miono mpya ila sema n mbali kama elfu saba hivi sema kama huna haraka kuna gari zinapita
 
Ghorofa ipo moja ambayo ni serekali ya wanafunzi na ambapo ni parade ground mtoa matangazo atakaa juu na wanafunzi tutakuwa chini ila shule n bomba balaah
 
Tatizo ni kwamba sikupata joining instruction maana headmaster sikumkuta soo jaman tuambizane atakaepata hasa upande wa uniform na mengineyo
 
sasa wakuu tutapataje joining instruction form?

Wakuu mwenye kuweza kupata hiyo joining instruction tujulishane plz
 
Leo kuna rafiki yangu kaenda kufatilia wilayan kakutana na mkuu wa shule yupo kule wana kikao na mkurugenzi bado wanajadili kuhusu uniform na mambo mengine kaambiwa aende jumatatu itakuwa tayarii soo tujulishane wandugu
 
atakayepata joing instr ataje hata uniform 2 guys ili kupunguza usumbfu ckul and kama kuna mweny hdmster no ai share!
WASILIANA NA MWALIMU MMOJA ANAITWA KINDA 0788742254 ATAKUPA INFO ZOTE KWA KIFUPI NI KWAMBA UNIFORM NI DARK BLUE NA TAI ZAKE PAMOJA NA SURUALI LIGHT BLUE KWA ajili YA CHURCH NA MOSQUE GODORO ZIPO.
 
Back
Top Bottom