Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 320
- 209
Wakuu naomba mnisaidie kuhusu chuo hiki katika tawi lake la mwanza kimeanza kutoa degree maana kwa taarifa nilizonazo ni kuwa wamejikita kwenye kutoa certificate na diploma, sasa nilikuwa nataka kujua kama wameanza kutoa na bachelor ili nijiunge huko.
Msaada wenu wakuu kwa wale wenye taarifa!!!
Msaada wenu wakuu kwa wale wenye taarifa!!!