Kwa wale vijana ambao wameowa huku hawana kazi mliwezaje kuyamudu maisha

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Hebu tupeane madini kwa vijana ambao mlingiaa kwenye ndoa huku mkiwa hamna kazi wala shughuli ya maana ya kuwaingizia kipato

Mliwezaje kuyamudu maisha hadi leo mpoo vizuli na familia zenu
 
Unaaanza saidia cameraman ILI um-control your wife
 
Back
Top Bottom