Kwa wale Team Vimbaumbau!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Huu ni ujumbe kwa wale wanangu wa ukweli team vimbaumbau wanaoenda gym ili kujenga misuli na kubadilisha muonekano!
Wengi wao wamekuwa wakikata tamaa baada ya kutokuona matokeo yeyote!na kujikuta wameacha kwenda gym!
Tatizo hasa ni kwamba watu wengi was gym wamekuwa wakidanganya vimbaumbau kwamba watajazia misuli ndani ya mwezi mmoja tu!wakati watu wengine wameenda gym tayari wakiwa wana miili mikubwa!
Team viambambau inahitaji siku zisiopungua 366 kuona mabadiliko kwenye mwili wako ama maisha yako yote gym kwahiyo msikate tamaa
N:B,ujumbe huu ni kwa wale wenye mwili kama madenge ama Eric omondi!
Mods msiunganishe Uzi huu na Uzi wowote,wala kuuhamisha kwenda popote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeisoma kwa hisia kali mkuu ni ni mmoja wao, najaa kifua mapema sana ndani ya mwezi kifua kabati mbavu nene, shingo hiyo, mkuu shida iko ktk mkono kujaa, hapo ndipo pananikatisha tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JAMAA UNADHARAU SANA AISEE,
SO SI TUKOMAE NA MISOSI TU SIO GYM
 
Ukitaka mwili uliojazia sharti uchanganye mazoezi na mlo mzito..kinyume na hapo unajikomaza tu
We mtu inalkula chpisi nusu sahani halafu unatarajia kuwa na mwili kama baunsa..
Kula ugali au wali au tambi.. Ongezea na virutubisho vyote muhimu kama protini, fats, vitamins nk
Na ule kwa wingi. Hapo sasa utapata kunenepa kwa faida sababu huku unanenepa.. Huku unakaza mwili.. Hakuna kitambi ni six pack. Hakuna minyama uzembe kuning'inia wala wowowo[emoji2][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…