Isack Michael
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 122
- 33
- Thread starter
-
- #21
Nilikua naomba msaada wa kutengeneza ata simple program ili nijiweke vizuriReally Bad idea.
Mkuu umetumia C kweli? Comparing with other languages C ni rahisi sana kwa beginner, java na higher level concepts zote zile nani ataelewa?
Can you compare
Code:#include <stdio.h> int main(){ printf("Hello world!"); return 0; }
VS
Code:package whatever public class HelloWorld { public static void main(String[] args) { System.out.println("Hello, World"); } }
Yaani Java sio beginner friendly hata kidogo, concepts za public, static, class bado uje kwenye functions zake System.out.println yaani watoto lazima wakimbie programming.
Watu wanachoogopa C sijui ni nini? Wengi wanasema pointers sijui, there's really nothing special to it, In fact its a better language kwa beginner ajue vizuri how to access memory na kutumia resources efficiently, hizo abstractions zote zimefichwa kwenye higher level languages.
Python labda, japo dynamic typing is a mess ila angalau inaweza kuvumiliwa kwa kua na very easy syntax.
Checkout www.codewithc.com , they have a projects sections for C. You can get ideas for projects from there, do them on your own then compare with solutions given there.Nilikua nataka kufanya angalau simple project kwa kutumia C ili niwe vizuri
Unaweza kuchukua muda wako ukajifunza C++ pia. C ni extend-and-modify ya C kwa hiyo bado utakuwa ndani ya C unayoitaka. MfanoaNilikua nataka kufanya angalau simple project kwa kutumia C ili niwe vizuri
Na nyingine hii hapa: About - Project EulerCheckout www.codewithc.com , they have a projects sections for C. You can get ideas for projects from there, do them on your own then compare with solutions given there.
Other places to practice is hackerrank, really puts your data structures and algorithms knowledge into practice
Mkuu kuna weakness za kutumia framework ku develop native app (Mf cordova/phonegap) ukicompare na native language za platform husika mf java-android, c#-window phone, objective c-iOS?Na nyingine hii hapa: About - Project Euler
Nadhani wengi walishaandika kirefu kuliko ambavyo ningejaribu kuandika, so pitia usomeMkuu kuna weakness za kutumia framework ku develop native app (Mf cordova/phonegap) ukicompare na native language za platform husika mf java-android, c#-window phone, objective c-iOS?
Nina plan ya kutengeneza cross platform app itakayorum all devices zote, Kusoma language nyingi mm siwez kabisa .
Nimekupata mkuuNadhani wengi walishaandika kirefu kuliko ambavyo ningejaribu kuandika, so pitia usome
https://www.quora.com/What-are-the-...he-Cordova-Phonegap-for-building-your-iOS-app
https://www.quora.com/What-are-the-pros-and-cons-of-using-PhoneGap-to-build-native-apps
What are the advantages of using Cordova?
TL;DR: Shortcuts always end up long! Kama ni kwa hobby au kikundi fulani kwa matumizi ya ndani sawa ila kama unataka kufanya issue serious hasa ya kibiashara, Jifunze lugha husika. BTW zaidi ya Java/Kotlin na Swift sidhani kama kuna mobile platform ya maana unaitarget. So jifunze tu!
Asante sanakutengeneza simple software kunahitaji programming knowledge. hivyo ili utengeneze unahitaji kujua programming language kama umeamua kuanza na C ni vizuri kwani hakuna programming language mbaya au nzuri kila programming language inafanya vizuri ktk upande fulani zaidi ya upande mwingine
mfano C inafanya viziri ktk Operating system, Python ktk networking (na hacking kwa ujumla), html ktk website n.k hivyo inabidi ujue unataka kuandika software ipi kwa ku run wap na kwa lengo gani ndio ujue programming language ipi ina faa
kama umeamua kuanza na C inabidi ujua programming basics na structure. Programming basic kama variables, objects, functions n.k
Unaweza kuchukua muda wako ukajifunza C++ pia. C ni extend-and-modify ya C kwa hiyo bado utakuwa ndani ya C unayoitaka. Mfanoa
[HASHTAG]#include[/HASHTAG] <stdio.h>
int main(....)
{
char *name = "Hilkiah";
printf("My Name is %s", name);
return 0;
}
kwenye C++ inakuwa kama hivi
[HASHTAG]#include[/HASHTAG] <iostream>
int main(....)
{
std::string name= "Hilkiah";
cout<<"My Name is: "<<cout <<"\n";
return 0;
}
so unaweza kuona basics za C zina apply kwenye C++. Ila utaongeza new Concepts hasa za OOP ambazo ni msingi imara wa programu bora.
Ila kama bado una mawazo ya kukomaa na C basi jifunze GTK+ ili uandike UIs au kama una moyo mgumu andika kwa kutumia Win32 API calls moja kwa moja.
Jaribu Python.
Python ni language ambayo ni rahisi kutumika popote na hutumika katika takriban platforms zote. Ukiachilia mbali uwezo wake, ni language rahisi sana kwa beginner kuanza kujifunza nayo, hivo ijaribu!
Chukulia PHP. PHP inasimama badala ya PHP: Hypertext Processor.
Ni language ya kutengeneza programs za web na ni rahisi sana kujifunza na umaarufu wake(umaarufu nikimaanisha kwamba kutakua na tutorials zake nyingi kwaajili ya kujifunzia). Ni language nzuri kwa upande wa server side programming.
Usijiwekee Limit kwa hizo languages!
Kuna tani nyingi za language, zote zikifanya kazi tofauti. Kama ukitaka kufanya kazi kama programmer, itakubidi ujue zaidi ya moja, hivo jifunze nyingi uwezavyo.
okMkuu sijui kama umemuelewa mtoa mada yeye si beginner Bali
ana uelewa na C sasa anataka kutengeneza GUI software ya desktop
Nikweli mkuuMkuu sijui kama umemuelewa mtoa mada yeye si beginner Bali
ana uelewa na C sasa anataka kutengeneza GUI software ya desktop
Nikweli mkuu
#include <unistd.h>
int getopt(int argc, char * const argv[],
const char *optstring);