Isack Michael
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 122
- 35
Mfano wa izo basics za C pleasebasics za c programming tayari unazo? kama huna anza nazo taratibu Kama vipi soma html,css na javascript hizi pia waweza tengeneza software.
Ok but tayari nimeshaanza kusoma C na nakaribia kumaliziaIn my opinion C may not be the best language for a beginner, and it's not widely used as a general purpose language which is what you want to do. Try starting with Java or Python
As long as you understand the basics of programming the knowledge is transferable, you'll just have to learn different syntax for other languages and other language specific features.Ok but tayari nimeshaanza kusoma C na nakaribia kumalizia
Samahani naomba maelezo kidogo juu ya microcontrollers pleaseungekua mpenzi wa microcontrollers ungeitumia C kwa 100%
Kwaiyo unanishauri nikimaliza C nisome language gani?As long as you understand the basics of programming the knowledge is transferable, you'll just have to learn different syntax for other languages and other language specific features.
I hope you meant umekaribia kumaliza C as in umekaribia kumaliza what you planned to learn and not that umemaliza C inside out.
And lastly Kang makes a good point for C#. It's a solid language and has nice UI frameworks in WPF and WinForms. The former is very adaptable for desktop and mobile applications
In my opinion C may not be the best language for a beginner, and it's not widely used as a general purpose language which is what you want to do. Try starting with Java or Python
#include <stdio.h>
int main(){
printf("Hello world!");
return 0;
}
package whatever
public class HelloWorld {
public static void main(String[] args) {
System.out.println("Hello, World");
}
}
Nataka na natamani sana kuwa software developer na kwasasa najifunza C programming language naombeni muongozo wenu wa namna au hatua za kutengeneza software nataka nianze kutengeneza SIMPLE SOFTWARE kwa kutumia C programming language naombeni msaada wenu na ushauri wenu.... nakaribisha maoni yenu na mawazo yenu.
Really Bad idea.
Mkuu umetumia C kweli? Comparing with other languages C ni rahisi sana kwa beginner, java na higher level concepts zote zile nani ataelewa?
Can you compare
Code:#include <stdio.h> int main(){ printf("Hello world!"); return 0; }
VS
Code:package whatever public class HelloWorld { public static void main(String[] args) { System.out.println("Hello, World"); } }
Yaani Java sio beginner friendly hata kidogo, concepts za public, static, class bado uje kwenye functions zake System.out.println yaani watoto lazima wakimbie programming.
Watu wanachoogopa C sijui ni nini? Wengi wanasema pointers sijui, there's really nothing special to it, In fact its a better language kwa beginner ajue vizuri how to access memory na kutumia resources efficiently, hizo abstractions zote zimefichwa kwenye higher level languages.
Python labda, japo dynamic typing is a mess ila angalau inaweza kuvumiliwa kwa kua na very easy syntax.
Kwa kuwa umeanza na C nakushauri ukimaliza ujifunze C++. Kwa kujifunza C utakuwa umejua basics za C++. Baada ya kuelewa msingi wa C++ unaweza kuanza kuandika UI kwa kutumia Toolkits kama wxWidgets (My Fav), QT au GTKmm
Kama unataka kubakia kwenye C (Sikushauri kwa sababu zilizo wazi) basi tumia GTK kuandika UI zako.
Ukijifunza C++ ni rahisi kuongeza watoto wake kama Java, et al na pia unakuwa umejua yanayoendelea chini ya mkeka.
Miaka yote ya programming sijaona bado lugha ya kuniondoa kwenye C++. Ni lugha nzuri mno, sema tu inataka uwe tayari kujifunza unapoanza na kuendelea.
C# sikushauri kwa sababu .Net ni Microsoft only ingawa naona wanazidi kuifanya Opensource na kuna little intro kwenye *nix inaendelea ila bado. Last time nimetumia Mono (C# on-*nix ukipenda) ilikuwa bado haina kila kitu kilichopo kwenye MS C#. Ila bado kwa kutumia Mono/.Net unaweza kuandika strong program kama Banshee.
Python ni nzuri kwa kuanzia ili ikufunze kupangilia simba zako vyema na ni rahisi hivyo inatia moyo kuanza nayo na itabaki kuwa asset muhimu huko uendako.
My advice kwa Bongo at least ujue Lugha moja maarufu ya web (I suggest PHP), Moja ya Desktop (I suggest C++) na Moja ya Mobile (I suggest Java) na ukiweza jifunze functional/cocncurrent moja (I suggest Elixir). Ila uanze na moja na maoni yangu yapo hapo juu.
Samahani kwa kutopangilia, ni muda wa kupumzika...!
control loopsMfano wa izo basics za C please
I can hear that bias 😉You are mostly right about C# but .Net space has changed a lot the past few years. Microsoft has opened up some of their tools to *Nix OS, Mono has matured enough, and I think .Net CORE is going to push C# more in the nix and it's showing a lot of promise already(I'm biased here because I love .Net CORE haha)
As long as you understand the basics of programming the knowledge is transferable, you'll just have to learn different syntax for other languages and other language specific features.
I hope you meant umekaribia kumaliza C as in umekaribia kumaliza what you planned to learn and not that umemaliza C inside out.
And lastly Kang makes a good point for C#. It's a solid language and has nice UI frameworks in WPF and WinForms. The former is very adaptable for desktop and mobile applications
Nilikua nataka kufanya angalau simple project kwa kutumia C ili niwe vizuriKwa kuwa umeanza na C nakushauri ukimaliza ujifunze C++. Kwa kujifunza C utakuwa umejua basics za C++. Baada ya kuelewa msingi wa C++ unaweza kuanza kuandika UI kwa kutumia Toolkits kama wxWidgets (My Fav), QT au GTKmm