Kwa wale sociologist

Kwa wale sociologist

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
Jamani masociologist wenzangu kazi zipo wapi? mbona hazionekani hasa huku Arusha? nimetuma application mpaka inbox inakaribia kujaa, ingawaje nina bachelor of sociology with 4.5 degree GPA and 4.0 overall GPA? jamani mnaojua zinakopatikana hizo kazi mnijulishe maana nahis hizo post zinazotolewa tayari watu wanakua wameshaziripoti, ushahidi ninao mpaka sasa nimeshatuma post 173 na by hand 15 but reply zinazokuja kwa bahati ni za kuonyesha kuwa nafasi tayarij imechukuliwa.mim nachoka jamani.
watu tunatamani hata kujiajiri but ile system ya kutengeneza mtaji pasipo hela bado ni ngumu sana hasa kwa sisi tulio fresh from colleges with little or without any experience.
Thanks for your reply..
 
Pole sana Mkuu sociologists tupo tumejaa tele.. Nakusihi sana usikate tamaa endelea kuapply napia mwombe sana Mungu ipo siku utakipata unachokitafuta. Pia angalia sana CV yako na Application letter hakikisha vimekaa sawa namaanisha ukiandika kila barua iendane na KAZI unayoapply vivyo hivyo kwa CV.. Kwa GPA yako zikitoka Post za Tutorial Assistants uaply pia unapossibility ya kuchkuliwa.

Humu jamvini kuna wakuu waliweka jinsi ya kuandika barua, CV pia namna ya kujibu maswali ya Interview ni very usefull vitafute mkuu vitakusaidia.

Mwisho kabisa nakutakia kila la heri na wewe bado ni mshindi endelea kupigana naamini ipo siku utakuwa Mshindi
 
Ulizia consultancy company za Engineering and Environmental then peleka CV yako huko. Huwa wanahitajika masociologist sana. halafu ni PM email yako.
 
asante sana mkuu kwa kunitia moyo, vyuo vya arusha kama cdti, arusha university and mountmeru sijaona kabisa wakitoa post za tutorial assistant au wao huwa wanatangaza wap jamani? email yangu amelinechao@gmail.com
 
Back
Top Bottom