Vp na wale ambao majina yao yalitolewa kwenye orodha ya fomu zenye kasoro na kurekebisha lkn hakuna hata mmoja amepata kati ya wale wanaorodha?
kama una neno priority mkopo unao tusubiri tarehe 25/09/2012 hivi karibuni nitadodosa zaidi kuhusu hili swali lakoJe hawa previous loanee,majna yao yamo kwenye hyo orodha ya majna yote?kwenye ile orodha ya prev loanee kuna majna kibao ya wa2 waliomba kwa mara ya kwanza na yatma.vp khs hl kaka?
Vp na wale ambao majina yao yalitolewa kwenye orodha ya fomu zenye kasoro na kurekebisha lkn hakuna hata mmoja amepata kati ya wale wanaorodha?