Alafu kweli....ukute ata ni mwanaume kaeka picha ya kike we unakomaa kumtext cyo kila alieko huko ni mkwel,Usipojibiwa shukuru mungu
Hahahaahaaaaa jinga kabisa weweUpo site gani mkuu ?? Xvideo upo? Mimi nipo
wa kuoana sijui ila wa kulana tushakula snaaaHivi huko Kuna watu wanapataga watu na wakaoana kabisa???
duh
sio JF mkuu sites kama waplog, hitwe and others
mtu anayefoka "puri" yeye ni konk master wa iyo michezoDomo zege weye siyo bure!!! Mwanaume alitimilifu hawezi kwenda kupiga puri na keyboard ya computer.. daaaadeki shnzy typu
iyo <> hiyo ?mtu anayefoka "puri" yeye ni konk master wa iyo michezo
Labda hajavutiwa na wewe ndio mana hakujibu
site gani mkuu, na mm nichungulie huko, kama ni hitwe kule wote ni wabaya hawana viwangoYani Hapa huwa nashangaa , ladies msome functionality za sites mbali mbali..... yani Site ni mahususi kwa ajili ya dating ila huweki effort yoyote pindi unapokuwa txtd. Kwanini ulijiunga sasa? yani hapo ni kuongeza tu operating cost za site husika afadhali ondoa iyo profile yako kama hutaki izo mambo.