Kwa Wale Ladies wanao jiunga Dating Sites Kujaza nafasi tu.

Ndio maana awali nkasema kusoma functionality ya websites, kuna watu Dating sites wanazichukulia kama social networks km Fb
 
Yani Hapa huwa nashangaa , ladies msome functionality za sites mbali mbali..... yani Site ni mahususi kwa ajili ya dating ila huweki effort yoyote pindi unapokuwa txtd. Kwanini ulijiunga sasa? yani hapo ni kuongeza tu operating cost za site husika afadhali ondoa iyo profile yako kama hutaki izo mambo.
site gani mkuu, na mm nichungulie huko, kama ni hitwe kule wote ni wabaya hawana viwango
 
Hizo zote kwa wenzetu wa dunia ya kwanza huwa wanachukuliwa serious relationship kwa upweke walionao
Ukirudi kibongo bongo wengi wanaosijari huwa wamekaa kikahaba wauza nyapu na profile zao hazina sifa ya mahusiano serious na ndoa kama ndoa nyingine tu za kawaida
 
Back
Top Bottom