Kwa wale ambao hawakuchaguliwa first selection

Juma makole

Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
45
Reaction score
7
Najua kuna wanafunzi zaidi ya 21000 ambao hawakuchaguliwa na wengi wao ni boys wenye III ya 23 na kuendelea ilihali wasichana wenye three ya 25 walichaguliwa hvyo basi wanafunzi msikate tamaa kwani bdo kuna 2nd selection mwenye mawazo yoyote na ushauli na mtazamo wake kuusu vijana waliobakia au hambao hawakuchaguliwa ni ruksa kutoa maoni yako pia


Jah bless y'all jf members[emoji120] [emoji120]
 
Waliosoma sayansi na wakapata kuanzia D nne za masomo ya sayansi wakachukue stashahada ya Clinical Medicine,pharmacy,medical laboratory,nesi nk waokoe muda
 
Kuwa mtulivu Huwa inachukuwa mwez Mpaka miez miwili baada ya first kuripot hata hivo mwaka huu nacte wamelegeza kidogo nenda ata chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…