Kwa wakulima wa vitunguu

Kwa wakulima wa vitunguu

KAJOBO

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
408
Reaction score
351
Habari Wanajf?
Kwa yeyote mwenye knowledge ya kilimo cha vitunguu maji tushauriane juu ya namna bora ya kulima zao hili
Ningependa kufahamu mambo yafuatayo:-
Aina ya udongo
Aina ya mbegu
Mbolea inayofaa kutumiwa
Dawa za kuulia wadudu
NB: Mimi Niko Tabora
NAWASILISHA
 
kabla huja kwenda mbali, pitia mabandiko huku yapo mengi kuhusiana na kilimo hicho
 
Back
Top Bottom