S subzero Member Joined Jan 15, 2011 Posts 86 Reaction score 5 May 21, 2016 #1 Habari za sahizi. Natafuta watu wanaoweza kuniletea zao la dengu kwa kiasi chochote kinachopatikana. Pia tunaweza kufwata uliko. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali wasiliana nami tuongee vizuri 0625748072
Habari za sahizi. Natafuta watu wanaoweza kuniletea zao la dengu kwa kiasi chochote kinachopatikana. Pia tunaweza kufwata uliko. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali wasiliana nami tuongee vizuri 0625748072
Msuya Jr. JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 1,691 Reaction score 901 May 23, 2016 #2 Mnanunua kilo kwa bei gani?? Tuanzie hapo