Sio hawa wa siku hizi. Hii ina-apply ikiwa ulimkuta mkeo akiwa bado ni msichana (ana bikira). Kama ulikuta open canal hakuna haja ya kuvumiliana akikuchosha ruksa kutupa kule!
Naombeni mnijuze, hivi ni haki kweli kuishi na mkeo hata kama anakufanyia vituko na vitendo visivyo vyakiutu eti kwakuwa mliambiwa mkae pamoja mpaka kifo kiwatenganishe?
kwangu mimi zile sentence haziwezi kunifunga kiasi hicho,Kwa nini uzike furaha yako kwa ajili ya matamshi yaliyosemwa kanisani ambayo mwenzio hayafuati? Tupa kule kwani tumeunganishwa na minyororo?
Naombeni mnijuze, hivi ni haki kweli kuishi na mkeo hata kama anakufanyia vituko na vitendo visivyo vyakiutu eti kwakuwa mliambiwa mkae pamoja mpaka kifo kiwatenganishe?