habari wana jf,simu yangu nikiandika website inaniambia unsupported script au insuffient memory af inakata phone memory ni 497k so ni shida memory au ?af nawezaje kubadilisha screen yang cos touch imekufa! simu ni nokia e7
hiyo memory ni ndogo. Sana jaribu kufuta vitu visivyo vya ulazima, unaweza iformat kwa *#7370#'beware itafuta kila kitu kwenye phone memory' tafuta screen nyingine .