Hivi MOD hawawezi ku-embed gemu kama hizi watu wakawa wanacheza kutokea mbalimbali online
Invisible?
Wengine tukawa tunaangalia pembeni. Panatakiwa pawe na live streaming ya hiyo app lakini iwe ndani ya database ya JF. Ukienda kwenye supported games mnajiona wote pale watazamaji na wachezaji. mtu anapigwa super anakaa pembeni.
Watafute namna ya kutengeneza kijiwe ndani ya JF.