Hapo inatakiwa acheze kete nyekundu ya kwanza kushoto, kisha ya pili inayofuatia, kisha ya tatu inayofuatia. Baada ya hapo anaenda kingi na kete ya pili kucheza kutoka kwenye mtililiko wa mwanzo.

Hamna sare hapo ya kete 3 kwa 6 labda huyo wa blue awe kilaza......hapo lazima alishe hizo mbili ndo ajitahid kufika King....so zitabaki 3 mwenzie 6....labda ucheze pekeako wajionea huruma.
Hapo inatakiwa acheze kete nyekundu ya kwanza kushoto, kisha ya pili inayofuatia, kisha ya tatu inayofuatia. Baada ya hapo anaenda kingi na kete ya pili kucheza kutoka kwenye mtililiko wa mwanzo.
ha ha! kwani lzm kucheza..?
hapo unaweza kwenda king lkn kuna kete unatakiwa uzitoe sadaka ili moja iiende okay hata ikienda hiyo king moja what will help you zaidi ya kutapatapa kama mfa maji!!