Mwalufunamba
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 211
- 129
Nimepata simu yenye window (window phone 7.5) at the same time iko katka android. Ni Samsung Focus.
Ninapata matatizo mawili makubwa hadi sasa.
Awali, ni kuwa nikichomeka USB cable ili nihamishe data toka kwenye simu kwenda kwenye computer ambapo inabidi isomwe kama external drive, haisomwi/haionekani kabisa;nifanyeje.
Pili, niliinstall YouTube application. Mwanzoni ilikuwa inafanyakazi vizuri, kwasasa haifanyika kazi inakuja meseji kuwa "error....this application can't be supported". Nalo linanichanganya sielewi nifanyeje?
Ushauri wenu, msaada kwangu.
cc. Chief Mkwawa

Last edited by a moderator: