Kwa wajawazito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wajawazito

Discussion in 'JF Doctor' started by aloveragel, Oct 3, 2012.

 1. aloveragel

  aloveragel Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KWA WAJAWAZITO hasa wanaopenda mimba zao unashauriwa kufanya mazoezi angalau mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jion kunywa maji mengi kwani kunapunguza kuvimba mguu na kupata magonjwa yasiohitajika hila
  kila mama mjamzito anashauriwa kula mboga nyingi za majani kwani zitamsaidia kuongeza damu na kutosababisha kuvuja damu nyingi wakati wa kujifungua kwani hali hiyo hupelekea kupoteza maisha ya maama mjamzito
  USHAURI WA KUZIGATIA
  Unashauriwa kula mifupa kwa wing hili kuleta calicium au madini calicium kwani humaidia mtoto wa tumboni kutoka akiwa imara na sio goigoi kama ambavyo watoto wengine huzaliwa legelege kutokana na upungufu wa hayo madini

  pia unashauriwa hule mafuta ya samaki husaidia kuzaa mtoto genius yaani mwenye akili nyingi sana yaani omega 3 samaki ambao hupatikana chini kabisa ya kina cha bahari ya hindi wanasaidia kujenga ubongo wa mtoto na kuwa wenye akili nying sana tofauti na watoto wengine ambao huzaliwa na mtindio wa ubongo kwa watoto kutopata hayo madini ya omega 3

  tatu mama mjazito hule mboga nyingi za majani kusaidia kutengeneza damu nyingi na kuzuia umwagaji damu kipindi cha kujifungua mama kwani kupelekea kupoteza maisha hila mamboga mang ya majani siku hizi hulimwa na kumwagiwa madawa ya kuulia waduu hivyo kutokuwa na virutubisho muhimu vinavyotakiwa kwenye mwili wa binadamu na kujikuta kula sumu badala ya virutubisho vinavyotakiwa na mamboga mengi hilimwa kwenye mito ambapo kuna kila uchafu hii ni wakazi wa dar es salaam mfano mto msimbazi


  kutumia vitumbadala hili kuweza kupata hivyo viinilishe muhimu unavyovikosa

  [FONT=&amp]Field of greens[/FONT]
  l [FONT=&amp]Bidhaa hii muhimu yenye mchanyanyiko wa mboga za majani[/FONT]
  [FONT=&amp]zaidi ya sita ina virutubisho muhimu kwa kuongeza damu,[/FONT]

  [FONT=&amp]kuondosha sumu na kuboresha seli za mwili[/FONT] husaidia sana mama mjamzito kuwa na damu nyingi inayomsaidia wakati wakuzaa kutopoteza damu nyingi sana


  [FONT=&amp]ARTIC SEA(#39)[/FONT]

  n[FONT=&amp]IMETENGENEZWA KWA AINA TATU ZA MAFUTA YA SAMAKI (750mg) YAITWAYO OMEGA. OMEGA-3(LILOLEIC ACID), OMEGA-9 (OLEIC ACID) PAMOJA OMEGA-3 (LINOLENIC ACID) YENYEWE HUSAIDIA MAMBO MENGI KATIKA MWILI WA BINADAMU. PIA IMEONGEZEWA MAFUTA YA ZEITUNI- OLIVE OIL (OMEGA-9)- (250mg) [/FONT]

  n[FONT=&amp]MAFUTA HAYO YA SAMAKI NI KUTOKA BAHARI ISIYOCHAFULIWA BAHARI YA ARCTIC[/FONT]

  [FONT=&amp][/FONT]
  HUSAIDIA:

  MATATIZO YA MOYO KWANI HUONDOA CHOLESTEROL,
  SHINIKIZO LA DAMU,
  HUPUNGUZA MADHARA YA POMBE,
  KUSAMBAA KWA KANSA,
  HUONGEZA KASI YA SELI ZA DAMU,
  VIMBE ZA MIGUU (ATHRITIS),
  MATATIZO YA NGOZI (PSORIASIS & ECZEMA),
  KUPOOZA (STROKE)

  KUPATA HEDHI ISIYOKUWA NA MAZAGA-ZAGA (PREMENSTRUAL SYNDROME)
  MTINDIO WA UBONGO hasa kwa watoto wanaozaliwa hii urekebisha ubongo wao tangu wakiwa tumboni mwa mama hivyo mama anashauriwa kunywa angalau tembe 4 kwa siku n

  CALCIUM
  hiyo ina madini ya calcim kwa wing ambayo husaidia kuimarisha mifupa ya mtoto aliye tumboni atoke himara mwenye afya iliyoimarika mtu alikila hiyo suplimentary ni sawa na mtu aliyekula caicium ya mifupa robo kilo kwa tembe moja tu unashauriwa kutumia angalau siku unywe tembe 4

  B 12
  Hii husaidia kuzibua mishipa ya damu iliyozibwa na mafuta hivyo kufanya damu kutokutembea vizuri mwilini na kusababisha mtoto kutopata chakula cha mama yake akiwa tumboni hivyo kutoka akiwa na afyadhaifu au utapiamlo hivomama anashauriwa kutumia tembe 4 kwasiku hili kusambaza damu mwilini kotehasa inayopelekwa kwenye mfuko wa uzazi wa mama
  kwa ushauri zaidi na jinsi ya kupata hizo suplimentary nilizoziorozesha piga
  0683672508 nitakushauri

   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  mnacheza na mimba za watu nyie?
   
 3. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Uyu jamaa nimempigia simu kumuuliza maswali 2. Hana hata uhakika na alicho andika. Acheni kuchezea roho za watu. Kuna dada alikunywa hizi bidhaa mimba ikamtoka. Na alivyoniambia yeye ni mfanyabiashara wa foreverliving. Na sio dr. Mwili wa binadamu si wa majaribio jamani. Unakunywa vitu ambavyo anayereccomend havifahamu uwezo wake. Mtoto anafia tumboni utaweza jibu iyo kesi?ukishatengeneza ela na roho ya mtu imepotea unajisikiaje? Pls wafanyabiashara muwe binadamu. Si kila mtu anaweza kuwa doctor.
   
 4. aloveragel

  aloveragel Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cjui kama mtu anaweza kuandika bila kuwa knowledge yoyote hizi ni suplimentary aziuwi acha kuwa mjinga kiachi hicho inaelekekea hata biology ya form 4 ujasoma na zinarudisha au kufomlate dead cell hebu muulize daktari yoyote supliment ni nini na zina madhara gani na mamlaka ya chakula na dawa mbona wamethibitisha tangu 2006 na tangu zianze kutumika azijawahi kuleta madhara yoyote kwan wangekuwa wameshazifungia kama wangekua wamepelekewa shitaka la mtu kufa acha kupotosha watu au unataka uwashauri kwa wanganga wa kienyeji...
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kumbe mwisho wa hii mada ni huku!!!
   
 6. r

  rmb JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 7. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Samahani ndugu yangu. Kama nimekuaribia biashara. But haina haja ya kunitukana mm "mjinga" mm nimetoa maoni yangu. Matusi ya nn?
   
 8. a

  amigooo Senior Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana Mr./Mrs aloveragel kwa hiyo post. Umeiweka vema sana na asiyeelewa hahitaji kulazimishwa. Hizo products ni nzuri sana na nimependa sana kwa yeyote mwenye akili timamu ya kujali afya ya mama na mtoto aliye tumboni anastahili kuzingatia. Kwa ushauri zaidi na ukihitaji kuwekeza kwenye afya sababu ndiyo muhimu zaidi ya yote niandikie ktk email: healthwealthfirst@gmail.com. Ni kwa wale waelewa na walio serious na afya tu.
   
 9. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Walewale.
   
 10. JohnShaaban

  JohnShaaban JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 465
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  JF si mahala pa kutangaza biashara wala kupata precription, hapa ni mahala pa wachambuzi. Weka ingredients ya hizo supplements ili wachambuzi wenye ufahamu wasaidie kuelimisha walengwa wako.

  Matusi yanakufanya uonekane mbabaishaji.
   
Loading...