Uasiwe na haraka utapigwa,mjini hapa.
We umepost muda huu tena leo then unataka upate ufumbuzi leo leo.
Mfumo wa kuwa na nyumba na kukopa kwa biashara ya mwenzio lazima utaliwa tu.
Mie marehem Baba alilizwa 50m,alilipa hadi tunakuwa wakubwa tena alimkopea Mama yetu mdogo then akasepa.
Huna uwezo wewe wa kuifanya biashara isihame,na mbaya zaidi Bank hupenda kukushauri uwe na biashara ila ukiishakopa tu hawaangalii teeena biashara ila wao wanaangalia dhamana tu hapo lao linakuwa limetimia.