Kwa WAHEHE special

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
647
Tangazo kwa wahehe wote,chuo kipya kabisa cha kihehe{HEHE SKILLS AND TECHNICAL COLLEGE OF LIFE}kinatangaza kozi za masomo kwa mwaka 2011/2012 kama ifuatavyo.
1. Kugema ulanzi miezi 6.
2.,kusokota kamba za kujinyongea miez 9.
3, kuchagua mbwa anayefaa kuliwa na mapishi yake miezi 8.
4. Kuongeza hasira miezi 10-12.
Atakayejiunga mapema atapewa ofa kozi ya upishi wa mkunungu,pamoja na uoshaji wa mbeta.
 
Hapo namba 2 nadhani wengi watajiandikisha wengi
 
Mbona kozi ya mahouse girl chuo hakitangaza?
 

Nguli|_nafikiri una utani na watani zangu mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…