Habari Mkuu
Kwa maelezo haya ni ngumu kueleweka na utapata shida kupata wateja. Nakupa Mfano
1. Dagaa Mwanza 100kg = 150,000/
Usafiri (service charge) =. 35,000/
Jumla. 185,000/
Malipo yanafanya kwa njia ya ......
Mzigo unakufikia ktk kipindi cha Siku 3 kutoka tarehe ya kufanya malipo
Lakini pia jitanue kwa kwa kuwafikia wateja wa ziada ambao wanapatikana ktk njia ambayo hilo basi linapita kama Singida, Manyoni, Dodoma, Morogoro nk