Kama wewe ni mfanyabiashara wa dagaa au samaki, upo dar, mi niko Mwanza, natoa service ya kukutafutia na kukusafirishia kwa njia ya basi, my service charge ni Tzs 35,000.View attachment 2472115
Habari MkuuKama wewe ni mfanyabiashara wa dagaa au samaki, upo dar, mi niko Mwanza, natoa service ya kukutafutia na kukusafirishia kwa njia ya basi, my service charge ni Tzs 35,000.View attachment 2472115
Umeiweka vzuri mkuu, asanteHabari Mkuu
Kwa maelezo haya ni ngumu kueleweka na utapata shida kupata wateja. Nakupa Mfano
1. Dagaa Mwanza 100kg = 150,000/
Usafiri (service charge) =. 35,000/
Jumla. 185,000/
Malipo yanafanya kwa njia ya ......
Mzigo unakufikia ktk kipindi cha Siku 3 kutoka tarehe ya kufanya malipo
Lakini pia jitanue kwa kwa kuwafikia wateja wa ziada ambao wanapatikana ktk njia ambayo hilo basi linapita kama Singida, Manyoni, Dodoma, Morogoro nk