Hivi sio wewe tulikaa siti moja kwenye bus? Ulianza kununua mahindi ya kuchemsha, mbele kidogo karanga, mbele tena chips mayai, tuliposhuka kuchmba dawa ukanunua visheti na vitumbua, mayai ya kuchemsha ukala pale chalinze, kibaha ukala apples, mbezi ukanunua vipande vya nanasi..ukashukia kimara nikaona unanunua mahindi ya kuchoma
Napita kwanza
Karibu bibie, mie niko hapa meza ya jirani napata jiusi ya miwa...Mie nakuja kula huo urojo...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
He he heeeeee, we kama mm. Kula baba, mwili haujengwi kwa matofali
Hata mimi nauelewa huo, sema makulaji haya ni kwa ajili ya kuchangamsha mdomo tu...Wali maharage/samaki ndio mpango mzima
Nalog off
Hivi sio wewe tulikaa siti moja kwenye bus? Ulianza kununua mahindi ya kuchemsha, mbele kidogo karanga, mbele tena chips mayai, tuliposhuka kuchmba dawa ukanunua visheti na vitumbua, mayai ya kuchemsha ukala pale chalinze, kibaha ukala apples, mbezi ukanunua vipande vya nanasi..ukashukia kimara nikaona unanunua mahindi ya kuchoma
Mimi ukitaka unifikishe kileleni nipe ugali (dona) uliyomixiwa na unga wa muhogo na harage lililoungwa kwa mawese/nazi .
Nitakua nimeitendea haki nafsi .
Hahahaaa...kuna jamaa alikua anakunywa maji nikawa nashangaa jamaa anachangamka tu kumbe ni konyagi kaweka kwenye chupa ya Maji ya uhaiSafarini huwa nazuia kichupa cha Val**u, miksa kina mrija kwa juu na kimefungwa kwa karatasi...
We wa Kigoma mkuu eh?
Hivi sio wewe tulikaa siti moja kwenye bus? Ulianza kununua mahindi ya kuchemsha, mbele kidogo karanga, mbele tena chips mayai, tuliposhuka kuchmba dawa ukanunua visheti na vitumbua, mayai ya kuchemsha ukala pale chalinze, kibaha ukala apples, mbezi ukanunua vipande vya nanasi..ukashukia kimara nikaona unanunua mahindi ya kuchoma
Limezoea mikikimikikiTumbo balaa
Huyu sio mtu wa kawaida.Hivi sio wewe tulikaa siti moja kwenye bus? Ulianza kununua mahindi ya kuchemsha, mbele kidogo karanga, mbele tena chips mayai, tuliposhuka kuchmba dawa ukanunua visheti na vitumbua, mayai ya kuchemsha ukala pale chalinze, kibaha ukala apples, mbezi ukanunua vipande vya nanasi..ukashukia kimara nikaona unanunua mahindi ya kuchoma
Limezoea mikikimikiki
Ni bomu la maangamizi.Ushuzi wake sasa chezea maindi y kuchoma na mayai lol