Salaam wana jf? Naitaji kununua modem ya pc, sasa kwanza nahitaji jua je ni kampuni hipi ya simu hapa nchini wanauza modem nzuri?je ni zain,zantel,tigo,voda, au ttcl? Na namna gani mtu unaweza ukaichakachua modem ili iweze kutumia mtandao zaidi ya mmoja?