Kwa wadada wote, huu ndo ukweli

Kabisa mkuu kuna Mmeru mmoja ni mdada nilikutana nae katika mahusiano....kweli huyu alipewa beuty without brain wala sio praivet part zake zilisafa....ila mm ndo nimesafa nina week sasa najuta kumjua.......
 
jamani leo tangu asbuhi ni wanawake tuuu tyread kibao.....waacheni wapumue kidg.japo mienendo yao co mizuri watajifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…