Kwa wadada watu wazima tu

ningechagua wa pili....mambo ya kitandani tungeelekezana tu,mwanaume asifiwi kwa sura,hata mbuzi anayo,as long as ni mchakarikaji anajua kutafuta pesa inatosha,hata hilo domo zege ningelishughulikia.....kuliko hiyo tabia ya umalaya yet magonjwa mengi
 
Hakuna anaekufaa.
Sababu: Huyo wakwanza anakuridhisha lakini hakupendi wewe anawapenda hao wengine lakini pia atakuletea maradhini na msongo wa mawazo.
Sababu yapili huyo wapili ndo hafai kabisa kwakuwa hawezi kutimiza haja zako kitandani hivyo atasababisha uchepuke kutafuta anaekuridhisha mwisho utaambulia maradhi pia.

Nakushauri endelea kutafuta atakaekufaa hapo unadandia mwanaume wa wenzako. Hakuna wakwako kati yao.
 

Mie siamini kama kuna mwanaume ambaye hamfikishi mwanamke na tuition zote hzi karne ya 21.
 
ningechagua wa pili....mambo ya kitandani tungeelekezana tu,mwanaume asifiwi kwa sura,hata mbuzi anayo,as long as ni mchakarikaji anajua kutafuta pesa inatosha,hata hilo domo zege ningelishughulikia.....kuliko hiyo tabia ya umalaya yet magonjwa mengi
 
Haki ya nani ningemchagua huyo wa kwanza kwasababu kwasababu anabeba msingi wa mahusiano yetu, raha ya mapenzi kitandani, labda kama hujawahi kumpata mwanaume mtamu akakupa raha ndo utamchagua huyo asojiweza kitandani. Na huyo anaejiweza to me hata kama angekua domo zege stil ningemkubali maana namzimika sana mwanaume mwenye "mbio ndefu, za ukweli"
 
we mpe hela,
mpe hela, mpe hela, mpe hela, mpe hela,
mpe hela,
nasema we mpe hela,
mpe hela weeee......!!!! alafu utaona....!
 
None of the above. Kuridhisha, kuwa domo zege, kucheat ama kutocheat sio sifa niziangaliazo kwa mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…