Kwa wadada tu

Endeleeni kutoa ujuzi, haya ikiwa humu umevutiwa tu na michango yake, yaani kuna mtu hata sura wala umri wake siujui ila ninavutika kwake acha. kupm naigopa kabisa.
 
mm huwa natabasam na kumwangalia kwa jicho la kumuita tuu ....automatically atajiongeza....na akija namchana live....lol😉🙂🙂
 

Hiyo sura mbuzi kweli, nmefurahi sana hadithi yako.
 
haukumtendea haki ungemwacha aendelee labda ilikuwa ndo njia ya kukuweka mtegoni ile

 
yaani mm huwaga namkonyeza kiaina kisha
namwangalia kwa jicho la huba

Hivi dada zetu pale umwonapo mwanaume amekuvutia huwa mnafanya nini kuashiria umevutiwa nae mfano kwenye usafiri wa uuma na nk.


Mimi nikimwona mtoto kanivutia huwa na smile na kumwangalia sana.
 
kama 2po kwenye usafiri i think naweza nkajaribu kuongea naye stor za hapa na pale kama akivutiwa i know he will ask 4 my number na kama yuko single na amevutiwa lazima atanitafuta ..
(ni maoni tu)

nimeipenda hiyo,ebu chukua like.
 
Yan mia huaga natoa ile smile ya kimahabat!dah ngoja nivute picha...ntarudi!
 
Mie hufanya mchanganyiko wa njia zifuatazo...
kumtazama, ku smile, kujifanya naomba msaada kwake kwa kitu kidogo ili kuanzisha conversation mfano mpo wote kituoni (najilainisha kidogo hapo mtoto wakike)... nipo anko samahani naomba unishkie huu mfuko nifunge viatu lol... baada ya hapo namtwanga bonge la tabasam na ahsante....! Unless ni mgumu sana lakini wengi wao wataanzisha mazungumzo after that... saa nyingine namtega tu nione will he take the bait or not... lol ngoja niishie hapa ntarudi
 
muda huo huwa naacha baadh ya viungo vya mwil vifanye kaz yake mf. macho, midomo n.k!
 
Hivi dada zetu pale umwonapo mwanaume amekuvutia huwa mnafanya nini kuashiria umevutiwa nae mfano kwenye usafiri wa uuma na nk.


Mimi nikimwona mtoto kanivutia huwa na smile na kumwangalia sana.
Nitaashiria kwa wangapi? Mi nakaaga kimya tu najisema dah! kitu hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…