wana mmu mambo vipi?kesho najisikia kugawa vocha za jero jero kwa dada zangu humu ndani wanaotaka wanipm by the way si lazima only to those who need it
Ongeza sifuri mbele kidogo........
Aisee unabageini hadi ofa?
Wana mmu saa saba unusu mchana nitaweka namba hapa za vocha wenye tigo mkae mkao wa kula
wana mmu saa saba unusu mchana nitaweka namba hapa za vocha wenye tigo mkae mkao wa kula