Kama unakereka, ukiulizwa uko wapi na unafanya nini mara nyingi unakuwa unavunja amri ya sita.
Mimi hayo maswali huwa siulizi kabisa, nakumbuka kuna siku Gozi liliniuliza "hivi wewe hata huniulizi niko wapi, nafanya nini". Nikamwambia kabla sijakuuliza wewe mwenyewe unaniambia na nnajuwa kokote ulipo na lolote ufanyalo ni kwa ajili yetu mradi ukumbuke kuwa unayoyafanya yote ni ya halali. Akacheeeka.
Yes, kuna maswali ambayo muulizaji unaweza kujiona ni hodari lakini yanakuwa so embarassing kwa unaemuuliza, maswali namna hiyo hayana jema.
mkitaka msiulizwe hayo maswali basi muwe mnatoa taarifa mkichelewa kurudi, usisubiri kuulizwa maswali ya kukera
kwani kuna shida gani ukimpigia mama_Enock na kumwambia unaenda Dar view kupata bia? tena mpaka saa 8 hujarudi unategemea mkeo alale kwa amani chumbani? mimi huwa hata siwazii anafanya n..no, nawaza labda kapata tatizo, lakini akiniambia leo nitaenda club na washkaji mbona poa tu, nalala kwa amani maana najua hata akirudi 12 asubuhi poa tu, ndo starehe. sio wewe unastarehe, mimi nina hofu nyumbaniSiku ya Ijumaa kama leo hayo maswali ndiyo yanazidi!
Mwanaume unapata kinywaji Dar View mara SMS zinaanza kuingia:
upo wapi?
upo na akina nani?
umeanza tena?
mbona hujibu?
....
ufunguo wako umechukua?
sisi tunalala, sawa ehe?
usiku mwema na hao uliyo nao?
....
mpaka saa hizi saa nane upo na nani?
....
saa tisa yote hii bado tu?
hizo beer beer gani?
hao malaya hawatakupeleka popote!!
Siku ya Ijumaa kama leo hayo maswali ndiyo yanazidi!
Mwanaume unapata kinywaji Dar View mara SMS zinaanza kuingia:
upo wapi?
upo na akina nani?
umeanza tena?
mbona hujibu?
....
ufunguo wako umechukua?
sisi tunalala, sawa ehe?
usiku mwema na hao uliyo nao?
....
mpaka saa hizi saa nane upo na nani?
....
saa tisa yote hii bado tu?
hizo beer beer gani?
hao malaya hawatakupeleka popote!!
Kujua mwenzi wako alipo ni muhimu sana. Na km ataamua kuniacha simply because nimemuuliza hayo maswali basi hakunipnda kwa dhati na pengine ananicheat somewhere.
Those are simple and very caring questions.
Tatizo kubwa ni kwamba wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Wanasikiliza NUSU, wanaelewa ROBO, lakini wanaongea mara MBILI. Sitaki kabisa maswali ya kipuzi, nitakuzaba mabao na kukupa kibano kama mbwa mwizi.
Siku ya Ijumaa kama leo hayo maswali ndiyo yanazidi!
Mwanaume unapata kinywaji Dar View mara SMS zinaanza kuingia:
upo wapi?
upo na akina nani?
umeanza tena?
mbona hujibu?
....
ufunguo wako umechukua?
sisi tunalala, sawa ehe?
usiku mwema na hao uliyo nao?
....
mpaka saa hizi saa nane upo na nani?
....
saa tisa yote hii bado tu?
hizo beer beer gani?
hao malaya hawatakupeleka popote!!
Ukiniuliza kwa upendo hakuna shida ila ukileta ukali ndo kwanza naagiza ndovu hata km nilikuwa nakunywa fanta orangeni kweli ila kuna saa unammic inabidi tu uulize!
Unarudi nyumbani kwako saa tisa? Mama Enock ana kazi! Siku akiacha kukuuliza ujue kaolewa na mlinzi!