Swali la kizushi hivi imetokea umevaa underwear, unataka kwenda mahali ukajicheki kwenye kioo ukaona haijakupendeza ukaivua je utaiweka kwenye underwear safi au itabidi uifue kwanza?
Swali la kizushi
Hv imetokea umevaa underwear, unataka kwenda mahali.ukajicheki kwenye kioo ukaona haijakupendeza ukaivua
Je utaiweka kwenye underwear safi au itabidi uifue kwanza?