Jaribu kukizungusha out of bed!!Weka ndombolooo uyarudi!!
Mi sijui mfunde mwenzetu basi we si mambo yale tayari!!!!!Shosti me naona cha ndombolo na cha bed tofauti ati...au vipi?
Mi sijui mfunde mwenzetu basi we si mambo yale tayari!!!!!
Cc Madame BHahahahahahaha itabidi tumsinge mwari....subiri niwaite mashosti waje lol....
jaman wadada wenzangu mimi nimeolewa mwaka wa pili sasa,tatizo ni kwamba kwenye kufanya mapenzi nina kiuno kigumu aisee mpaka huwa nahic simridhishi mme wangu japo hajawah kuniambia!nisaidieni mwenzenu nisijekuachika,nifanyeje niweze kuzungusha vizur kiuno kwa bed?????
Lakini mi naona ajifunze na cha ndomboloo vilevile itakuwa rahisi kwake then on bed lol :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:Shosti me naona cha ndombolo na cha bed tofauti ati...au vipi?
Lakini mi naona ajifunze na cha ndomboloo vilevile itakuwa rahisi kwake then on bed lol :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
Sawa mpenzi!!Noooo.wacha ajifunze na post yako hapo juu..
Lakini mi naona ajifunze na cha ndomboloo vilevile itakuwa rahisi kwake then on bed lol :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
ili awe flexible bana!!lol unafikiri ka kiuno kikavu ndo kitalainika on bed?Hahahahaha! Hapana shosti kama namuona atakavyokuwa ana ndomboloka akiwa na mumewe,me nadhani maelezo yako pale juu ayazingatie japo maelezo na vitendo tofauti ajitahidi hivyo hivyo, heheheheee akindomboloka ni balaaa atakimbiwa kabisa maana kiuno cha ndombolo na kile kingne vtu tofauti au sio farkhina?
Kabila gani kwanza shostiiii