Kwa wadada na wakaka wenye tabia hii

Kwa wadada na wakaka wenye tabia hii

Maneno kuntuuuu maneno mujarrab kabisa maneno yameingia pahala pAke baelezeee
 
Mwanamke ni kama nguo, ikipitwa na fasheni ndo basi tena.
Sasa acha waendelee kujianika hasa kwenye mitandao ya kijamii.

Sisi wanaume ni kama wanunuzi wa nguo, ikipitwa na wakati hatununui tena ng'oo.....!!!!!!
 
Nimeipata mahali, nami nimepaste kama ilivyo.

Salamu zenu wadada wenye tabia hii;
~Yaanike matiti yako kwenye mitandao wee, yabane vizuri na vaa vinguo vya ajabu ili yaonekane...
~Jaa kiburi wanavyokusifia wanaume wazinzi kuwa wewe ni mzuri na umependeza...
~Vaa visiketi vyako vya kubana na kuacha vimapaja vyako nje wanaume wasio na huruma wakusifie kisha wakulaghai na kuzini na wewe...
~Zitoe mimba hizo wanazokupa endelea na huo mchezo mpaka pale utakapoona kuua sio maagizo ya Mungu na wakati huo umeshaua kizazi.
~Fanya vituko vyote mtaani na kwenye mitandao ya kijamii si bado unalipa?! Kila picha inatoka vizuri ukiipiga.

Ikifika muda wa kuolewa na wale waliokuwa wanakuambia wewe ni mrembo baada ya kuwaanikia matiti yako na mapaja yako hadharani alafu hawakutaki tena Usianze kumlaumu Mungu na kuwaambia watu wewe unamikosi na umelogwa

Na nyie wakaka mnaowakwa na maroho ya uzinzi ndani yenu tembeeni wee na kila mdada mnayemwona barabarani na mitandaoni maana guest zipo nyingi tu na hayo mageto ya kupanga yapo si wazazi wenu hawaoni mnafikiri na Mungu hawaoni ila ikifika Muda wakuoa n mkao wa vimeo msianze kukatisha watu tamaa, eti hakuna mwanamke aliyetulia wa kuoa wote ni walewale wakati wewe mwenyeweni afdhali ya walewale, kila mdada ukimwona unatamani uujue utupu wake.

Cha kufanya; Mrudie Mungu sasa sio usubiri yakufike shingoni na shetani akutupe nje ya zizi ndio uanze kutafuta kila mtumishi akuombee wakati unaharisha tumbo lisiloisha.

Kweli kabisa
 
kama wanajileta geto wenyewe niwasamehe au??tena watoto wakali..watoto wa ushungi

Endelea kuwala tu wakishajileta geto, maana kuna tuzo umeandaliwa ya mtu aliyezini na wanawake wengi wenye ushungi. Bahati mbaya ni alitekuandalia zawadi naye alishaandaliwa moto wa milele.
Kwa post yako hii, kama ingekuwa Mungu anatoa tuzo kwa waliofanikiwa kufunuwa tupu nyingi za wanawake, nadhani hadi mama yako ungemfunua.
 
Dih kwan tunaugomvi...

Ugomvi upo kila siku, lakini wewe ni center tu ya ugomvi. Wewe unagombaniwa na Mungu pamoja na Shetani kila mmoja anakutaka uwe upande wake. Hivyo ni uchaguzi wako.
 
Back
Top Bottom