Kwa wadada na wakaka wenye tabia hii

Kwa wadada na wakaka wenye tabia hii

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,069
Reaction score
5,551
Nimeipata mahali, nami nimepaste kama ilivyo.

Salamu zenu wadada wenye tabia hii;
~Yaanike matiti yako kwenye mitandao wee, yabane vizuri na vaa vinguo vya ajabu ili yaonekane...
~Jaa kiburi wanavyokusifia wanaume wazinzi kuwa wewe ni mzuri na umependeza...
~Vaa visiketi vyako vya kubana na kuacha vimapaja vyako nje wanaume wasio na huruma wakusifie kisha wakulaghai na kuzini na wewe...
~Zitoe mimba hizo wanazokupa endelea na huo mchezo mpaka pale utakapoona kuua sio maagizo ya Mungu na wakati huo umeshaua kizazi.
~Fanya vituko vyote mtaani na kwenye mitandao ya kijamii si bado unalipa?! Kila picha inatoka vizuri ukiipiga.

Ikifika muda wa kuolewa na wale waliokuwa wanakuambia wewe ni mrembo baada ya kuwaanikia matiti yako na mapaja yako hadharani alafu hawakutaki tena Usianze kumlaumu Mungu na kuwaambia watu wewe unamikosi na umelogwa

Na nyie wakaka mnaowakwa na maroho ya uzinzi ndani yenu tembeeni wee na kila mdada mnayemwona barabarani na mitandaoni maana guest zipo nyingi tu na hayo mageto ya kupanga yapo si wazazi wenu hawaoni mnafikiri na Mungu hawaoni ila ikifika Muda wakuoa n mkao wa vimeo msianze kukatisha watu tamaa, eti hakuna mwanamke aliyetulia wa kuoa wote ni walewale wakati wewe mwenyeweni afdhali ya walewale, kila mdada ukimwona unatamani uujue utupu wake.

Cha kufanya; Mrudie Mungu sasa sio usubiri yakufike shingoni na shetani akutupe nje ya zizi ndio uanze kutafuta kila mtumishi akuombee wakati unaharisha tumbo lisiloisha.
 
Maneno ya kweli hayo,watu wanavurugana sana ujanani muda ukifika lawama nyingi.
 
Basluma[/QUOTE said:
Kizazi hiki walivyo wabishi....!! Hawakawii kukwambia ndoa za nini?? Au hata ukiolewa kuzaa ni majaliwa!!

Wacha tuendelee kuangalia hizi muvi
 
[QUOTE@Basluma
CHA KUFANYA; Mrudie Mungu sasa sio usubiri yakufike shingoni na shetani akutupe nje ya zizi ndio uanze kutafuta kila mtumishi akuombee wakati unaharisha tumbo lisiloisha....[/QUOTE]

Nimeipenda hii sentensi ya mwisho, ubarikiwe ndugu.
 
Kuonja lazima hujui shetani akizeeka anakua Malaika?
 
Dah,nasikitika maana dada zangu hata uwaambiaje hawaelewi.mpaka yamkute aanze kuhudhuria kanisanai kwenye maombi.

Mmfano ninao ninapoishi..
 
Siku zote mwanamke ana expire date ila kwa mwanaume sidhani
 
kama wanajileta geto wenyewe niwasamehe au??tena watoto wakali..watoto wa ushungi
 
Back
Top Bottom