Kwa wadada: Kataa kuumizwa

Kwa wadada: Kataa kuumizwa

Dah! we mkali thamani ya mwanamke iko hyo sehemu? wanishangaza pia usemapo usimpe bila kujua ni wa kupita au kubaki.....bs wengine wanaonyesha intention ya kubaki na kuvumilia mwaka mzima na kukupa kila ki2 in the long run wanakimbia.
 
Wanaume tumekuwa watu wa ajabu sana tofauti na wadada, mdada yupo open na ni rahisi sana kumjua kama huyu ni wa kupita tu au ni wa kudumu naye. Men tupo tofauti tuna mbinu zaidi ya 73 za kuficha uhalisia wetu, mwanamke anaweza kufika mahali akajiamin kabisa kuwa huyu ndiye lakini anakuja kushituka anakuta jamaa ana mke na watoto or jamaa hana mpango naye kabisa, muda huo wote bint alikuwa hajui na tayari ameshajihakikishia ushindi wa ndoa. Sasa nyinyi dada zangu ambao ndo wahanga wakubwa wa mapenzi jitahidini kufanya utafiti wa kutosha mwanzo kabisa wa mahusiano.Lazima ujue mpenzi wako anaishi wapi hii itakusaidia sana kuwajua watu wake wa karibu then kumjua yeye ni nani.

Chochote anachokuambia tafuta uthibitisho sio unakubali tu kama hujapita shule bana. Pia jua kuwa thamani yako kubwa ipo kwenye papuchi, Wanaume wengi huwa wapo kwa ajili ya hiyo so kabla hujampa inabidi ujiridhishe kuwa huyu ni mpitaji au mkaaji usije baadae ukaanza kulia lia. Vile Vile kuwa makini sana na mapenzi na mwanaume ambaye yupo mbali na macho yako, sisi sio wavumilivu kama nyinyi may be ni wachache sana.

Naomba niishie hapa.

Nawapenda sana.

Noted.
 
Hili jipu sasa atalitumbua nani....? Maana limewiva kwelikweli na linaumiza ..halina Mtumbuaji.!"!
 
ni kweli kabisa..mm kuna Mkaka alikuwa ananitongoza nilikuwa simfahamu vizuri zaidi ya kumuona tu.nikawa namkataaa. baadae akaja na gear ya kutaka kunioa.nikamkataa. nikawa bnajiuliza
 
Back
Top Bottom