Kwa wadada jamani

Utakua unatoka CAHTO yani kuja Bongo hadi ulale njiani? Wenzako classic wanatokea Tanga. Moro na Mikoa jiran sio porini karibu na Josefu Kabila na Nkuru.. we utaitwa musoma na Tarime tu[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhamiaji ....ila ni uwezo wa kupanda pipa mwenyewe from chattle to bongo
 
Sasa hapo inakuwaje unamsaidia?
 
Mnatumaje nauli wakati mkoni mwako wapo warembo wengi tu nikuchagua na kufunga nae pingu za maisha, hizi valentine moments watu huwa wanalizwa sana.... Mapenzi ni mradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…