Kwa Wabongo sheria ni optional! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wabongo sheria ni optional!

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Aug 3, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,495
  Likes Received: 1,836
  Trophy Points: 280
  View attachment 60729
  Sheria imewekwa hapo tena ni wzi kabisa, hakuna kupaki magari makubwa, lakini ndo kama umewaita jamaa.
  Wamejazana hapo kama kumbikumbi!
  Bongo bwana balaa tupu!!
   
 2. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,170
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Of course sheria bongo ipo kwenye makaratasi tu. Ni ugonjwa wa nchi inayoongozwa chini ya udhaifu wa CCM. Sheria znavunjwa kidhaifu kuanzia kwa mkulu mwenyewe, as a result ni trickle-down effect to the rest of bongolanders kama hawa jamaa unaowananga hapa!
   
 3. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  pembeni hapo kuna matraffic kibao, si sayansi hapo?
   
 4. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,617
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huenda ni magari ya riz1 hayo, nani atayagusa? Subiri kuwe na kiji foleni maeneo hayo uone trafiki wanvyotoka mbio kwenye kibanda chao hapo pembeni na kuanza usumbufu kwa madereva wanaokuwa hapo, unaweza umpasue trafiki na kitofali.
   
 5. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,495
  Likes Received: 1,836
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Sayansi hapo, tena kuna askari kibao sehemu ya pili wenyewe kama hakuna msafara wa kiongozi utwakuta wakipiga soga.
   
 6. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,516
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 180
  Mkuu kuna baadhi ya yangeyange(traffic) wanamikoko yao hapo, unafikiri watakula wapi wakati hapo ndiyo njia panda na wapenzi wa kutoa taka chafu kwa wingi wanapatikana mkocheni,masaki,mbezi beach nk. kwa sababu wenzetu kwao shibe ni kitu cha kwanza.

  Uswahilini utamnyonyea choo nani wakati kula yetu mara moja neema ikishuka choo kikijaa tunasubiri mvua inyeshe tufungulie.
   
Loading...