Kwa wa wafanyabiashara wanaokwepa kodi

Kwa wa wafanyabiashara wanaokwepa kodi

Mwlmgomaji

Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
93
Reaction score
6
Habari wana JF!

Serikali yetu inajitahidi sana tangia ianze imejitahidi na inaendelea kujitahidi kukusanya kodi kutoka vyanzo vyake muhimu kwa kupitia taasisi zake kama TRA n.k licha ya kuwepo na changamoto mbali mbali katika mashirika na taasisi hizi.

Ushauri wangu kwa JPM ni aweke mfumo ambao utakuwa wazi na wenyekuaccess acount za wafanyabiashara ambao TRA au taasisi husika zitakazo undwa ziweze kukata KODI directly katika akaunt zao hii itapunguza malimbikizo ya kodi.

Mfumo uwe kama unaotumika kwa wafanyakazi kila mwez wanakata chao. Ingekuwa sio rahisi eti wafanyakazi wapewe full salary alafu kwa hiari yao wakalipe kodi ingekuwa ngumu sana. Utengenezwe mfumo wa kuaccess bank accounts na kufanya deduction ya kodi monthly, ili iondoe malalamiko kama haya.

Ni ushauri tu. Mnaweza kujadili wana JF.
 
duuuh idea zingine buana....mtu akiwa na account 10 afu moja ndo inaisajili ya kibiashara utampataje
 
Back
Top Bottom