Wanaotaka soda ya Azam cola ctn moja ni sh 6000 inakua na chupa 12 zenye ujazo wa nusu lita,na azam malta ipo ya flaver ya apple na pinaplle inakaa chupa 12 kwa ctn na ina ujazo wa nus lita bei ni sh 8500 nipigie number 0767366367

<font color="#0000cd"><font size="4"><b>mkuu mimi nipo arusha lakini c hitaji hizo juice za azam, mimi natumia fresh juice za matunda kutoka hapo muheza tanga</b></font></font>
<br />
<br />
Nawe KOMANDOO! Jamaa katoa elekezo tu! Na hukutaka kujua mimi na wewe tunatumia nini ni kwmb kama unapendezwa na Cola ya Azam we mwangukie mchizi mfanye biashara hataki hata kujua unatumiaga ipi. Mi nahisi nawe unatuoshea humu jamvini tu kwa Fresh! Hebu nipatie upatikanajiwa hiyo Fresh yako.
Ndio maana hata mitihani watu hufeli unaulizwa hili wewe hujibu kitu kingine,jamaa amesema anauza soda za Azam wewe unasema huhitaji juice za Azam,na hajauliza kama kuna anayetumia juisi za matunda ya kutoka Muheza,kuchamba kwingi mwisho unatoka na kimba la .......
KOMANDOO anashosema ni kweli ni vizuri kunywa juice fresh za matunda,manake hawa wafanyabiashara wanauza products zao wanachanganya madawa na sidhani kama yanafaida yoyote kwenye mwili wa binadamu.Ushauri mzuri ni kula matunda fresh badala ya kukimbilia kunywa haya machemical.