Kwa vyovyote vile, kwanini umtongoze mke wa mtu ? Na unajua kabisa kaolewa na jamaa unamjua?

Wakati mwingine hawa wake za watu kuna mazingira ya kuliwa wanayatengeneza wenyewe, aidha kwa makusudi au kwa kutojua!
Huu ndio ukweli, mwanamke ambaye hajaweka mazingira ya kutongozwa, hata kumuanza unajishauri Mara mia.
 
Back
Top Bottom