Kwa viongozi wa ACT, please read this

Kwa viongozi wa ACT, please read this

eazy900

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
349
Reaction score
124
Naomba mawasiliano na chama chenu, ninataka kugombea Ubunge jimbo la Kawe, but for the mean time naomba niweze wasiliana nanyi ili niweze pata membership na pia kuweza kujihusisha full time na operations zenu hapa Dar es salaam, ili tuweze saidiana jinsi ya kujenga na kukiimalisha chama kisonge mbele zaidi.

Mimi sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote Tanzania ila nimekuwa nikijihusisha na kufu atilia siasa kwa muda behind the camera, na ninafikiri sasa its high time niingie mzima mzima kwenye siasa na nimekuwa na this feeling kuhusu hiki chama cha ACT kwamba kinaweza make it big time,kama tukiweza kushirikiana kwa pamoja bila migawanyiko, na kwakupitia mistakes ambazo zimekwisha fanywa na vyama vingine nafikiri tunaweza capitalize na kuwa mafanikio.

So please naomba tuwasiliane ilituanze chukua majimbo mapema
Mawasiliano PM.

nawasilisha.
 
Naomba mawasiliano na chama chenu, ninataka kugombea Ubunge jimbo la kawe, but for the mean time naomba niweze wasiliana na nyinyi ili niweze pata membership na pia kuweza kujihusisha full time na operations zenu hapa Dar es salaam, ili tuweze saidiana jinsi ya kujenga na kukiimalisha chama kisonge mbele zaid, mimi sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote tanzania ila nimekua nikijihusisha na kufatilia siasa kwa muda behind the camera, na ninafikiri sasa its high time niingie mzima mzima kwenye siasa na nimekua na this feeling kuhusu hiki chama cha ACT kwamba kinaweza make it big time, kama tukiweza kushirikiana kwa pamoja bila migawanyiko, na kwakupitia mistakes ambazo zimekwisha fanywa na vyama vingine nafikiri tunaweza capitalize na kuwa mafanikio so please naomba tuwasiliane ilituanze chukua majimbo mapema
Mawasiliano PM.

nawasilisha.

Mkuu,

Inawezekana una nia nzuri ila hutakiwi ujiunge na chama eti tu kwa kuwa unataka kugombea ubunge kawe. Unachotakiwa ni kujiunga na chama baada ya kusoma misingi itikadi na falsafa zake na ukaona kwamba wewe unaweza kuwa sehemu ya wasimamiaji wa misingi hiyo hata bila kuwa kiongozi.

sijui kama ushawahi kuiona misingi ya chama yenyewe!

Na ni lazima pia uelewe kwamba unaweza ukajiunga na chama na usipate uongozi vile vile maana si kila mwanachama wa chama cha siasa anakuwa kiongozi, na asiyekubali kuongozwa hawezi kuwaongoza wengine.
 
kwanza mkuu mimi ni mkazi wa huku kawe sasa kuna vitu nafikiri nataka nirekebishe kwa kutumia uwezo wangu utashi na akili zangu, sasa sitaki nianze kumtuhumu miss mdee ndio maana nimeamua na mimi niendeleze pale alipoishia ms mdee, na kwa chama nimekifatilia toka kinaanzishwa na misingi yake mission na vision zake zinaonekana ziko vizuri na zina malengo mazuri sasa hivyo haviwezikuji implement vyenyewe vinahitaji watendaji ndio maana nimeamua kuingia mzima mziam ile niweze kuwa part ya future ya chama, sasa basi nimeingia kwa malengo mawili 1: Kusaidia kukijenga chama 2: kusaidia kutatua matatizo katika jimbo langu la kawe. nimeamua kuweka record straight, mission za vision zangu as well ili hata chama kitambue nakuja kufanya nini sifyatuki tu kama mshale harafu sijui what next hope umenielewa na kama unawezakua na mchango unaweza ongezea ili kuweza saidia nchi yetu kusonga mbele. thanks
 
Ukijiunga act wasipopitisha jina lako kugombea ubunge kawe utahamia wapi? Usiwe kama waumini wa kikristo asipochaguliwa kuwa kiongozi ndan ya kanisa anahama dhehebu au muislamu asipopewa uongozi msiktini anaanzisha fujo hadi watu wanakatana mapanga. Naona nawe imani yako kisiasa hiko kifujofujo zaidi
 
kwanza mkuu mimi ni mkazi wa huku kawe sasa kuna vitu nafikiri nataka nirekebishe kwa kutumia uwezo wangu utashi na akili zangu, sasa sitaki nianze kumtuhumu miss mdee ndio maana nimeamua na mimi niendeleze pale alipoishia ms mdee, thanks
Mkuu, ndio maana nikasema inawezekana una nia nzuri tu lakini ni kosa kubwa sana kujiunga na chama cha siasa eti tu kwa kuwa unataka uongozi fulani (hata kama unataka nafasi hiyo ya uongozi ki roho safi tu). Nasema hivyo kwa sababu kama utajiunga na chama kwa sababu hiyo halafu ikatokea hujapata uongozi , maana yake hutokuwa na sababu tena ya kusimamia misingi ya chama chenyewe kitu ambacho ni tatizo kimsingi.Vile vile ukijiunga kwa sababu hiyo, maana yake ni kwamba hata katika kura za maoni itabidi usimame peke yako kitu ambacho ni kinyume na misingi ya demokrasia.Kwa hiyo wewe unapoamua kujiunga na chama; jiunge tu halafu kupata uongozi itakuwa ni matokeo.

Mkuu,

Inawezekana una nia nzuri ila hutakiwi ujiunge na chama eti tu kwa kuwa unataka kugombea ubunge kawe. Unachotakiwa ni kujiunga na chama baada ya kusoma misingi itikadi na falsafa zake na ukaona kwamba wewe unaweza kuwa sehemu ya wasimamiaji wa misingi hiyo hata bila kuwa kiongozi.

sijui kama ushawahi kuiona misingi ya chama yenyewe!

Na ni lazima pia uelewe kwamba unaweza ukajiunga na chama na usipate uongozi vile vile maana si kila mwanachama wa chama cha siasa anakuwa kiongozi, na asiyekubali kuongozwa hawezi kuwaongoza wengine.
Propaganda za kikoto kutujazia thread za ma AcT mkiona mnakijenga kumbee upuuzi tupu...
 
Mkuu,

Inawezekana una nia nzuri ila hutakiwi ujiunge na chama eti tu kwa kuwa unataka kugombea ubunge kawe. Unachotakiwa ni kujiunga na chama baada ya kusoma misingi itikadi na falsafa zake na ukaona kwamba wewe unaweza kuwa sehemu ya wasimamiaji wa misingi hiyo hata bila kuwa kiongozi.

sijui kama ushawahi kuiona misingi ya chama yenyewe!

Na ni lazima pia uelewe kwamba unaweza ukajiunga na chama na usipate uongozi vile vile maana si kila mwanachama wa chama cha siasa anakuwa kiongozi, na asiyekubali kuongozwa hawezi kuwaongoza wengine.

Hahahahaha
kwanini usimuambie tu kwa kifupi kuweka wagombea ubunge sio lengo lenu, Japo mtashiriki kwenye uchaguzi.
 
Lengo la act si kushiriki uchaguzi bali kupambana na cdm kwa maslahi ya ccm!
 
Mkuu, ndio maana nikasema inawezekana una nia nzuri tu lakini ni kosa kubwa sana kujiunga na chama cha siasa eti tu kwa kuwa unataka uongozi fulani (hata kama unataka nafasi hiyo ya uongozi ki roho safi tu). Nasema hivyo kwa sababu kama utajiunga na chama kwa sababu hiyo halafu ikatokea hujapata uongozi , maana yake hutokuwa na sababu tena ya kusimamia misingi ya chama chenyewe kitu ambacho ni tatizo kimsingi.Vile vile ukijiunga kwa sababu hiyo, maana yake ni kwamba hata katika kura za maoni itabidi usimame peke yako kitu ambacho ni kinyume na misingi ya demokrasia.Kwa hiyo wewe unapoamua kujiunga na chama; jiunge tu halafu kupata uongozi itakuwa ni matokeo.

well spoken mkuu nitafuata ushauri wako, though nilikua najaribu kua open kwa hao watakokua member wenzangu na maana yenyewe ya hio ACT ya kua transparent, anyway thats kwa mchango wako
 
Ukijiunga act wasipopitisha jina lako kugombea ubunge kawe utahamia wapi? Usiwe kama waumini wa kikristo asipochaguliwa kuwa kiongozi ndan ya kanisa anahama dhehebu au muislamu asipopewa uongozi msiktini anaanzisha fujo hadi watu wanakatana mapanga. Naona nawe imani yako kisiasa hiko kifujofujo zaidi

hapana mkuu kuna dhana mbili nimeweka sitaki kupretend, kama sitachaguliwa kugombea ubunge then nitajikita kukijenga chama kama nilivyoeleza hapo juu kwenye number mbili, na vile vile nafikiri ACT kuna democracy kwamba mtu anweza j ji express bila fikiriwa vibaya nafikiri hio ndio dhana nzima ya democracia iliokamilika
 
Mkuu,

Inawezekana una nia nzuri ila hutakiwi ujiunge na chama eti tu kwa kuwa unataka kugombea ubunge kawe. Unachotakiwa ni kujiunga na chama baada ya kusoma misingi itikadi na falsafa zake na ukaona kwamba wewe unaweza kuwa sehemu ya wasimamiaji wa misingi hiyo hata bila kuwa kiongozi.

sijui kama ushawahi kuiona misingi ya chama yenyewe!

Na ni lazima pia uelewe kwamba unaweza ukajiunga na chama na usipate uongozi vile vile maana si kila mwanachama wa chama cha siasa anakuwa kiongozi, na asiyekubali kuongozwa hawezi kuwaongoza wengine.
mkuu maneno yako ni ya ukweli lakini umejaa unafiki mkubwa sana
ni ww na mwenzako njano ndo mlokuwa mnasstza eti zzk kaonewa cz si mchaga ndo mana hatakiwi kuwa kiongozi.
kumbe unatambua kuwa kuna kazi ya kujenga chama kabla ya kuandaa waraka wa ushindi!!???

lazima tuwe wakweli hauwezi kukimbilia kuezeka nyumba, kukinga mvua kabla haujaweka msingi wa nyumba!!

vijana tubadilike tuache unafiki wa kijinga,,,hakuna jipya ACT bali ni utapeli tu kama wa mzee wa upako na babu wa loliondo!!!
 
kwanza mkuu mimi ni mkazi wa huku kawe sasa kuna vitu nafikiri nataka nirekebishe kwa kutumia uwezo wangu utashi na akili zangu, sasa sitaki nianze kumtuhumu miss mdee ndio maana nimeamua na mimi niendeleze pale alipoishia ms mdee, na kwa chama nimekifatilia toka kinaanzishwa na misingi yake mission na vision zake zinaonekana ziko vizuri na zina malengo mazuri sasa hivyo haviwezikuji implement vyenyewe vinahitaji watendaji ndio maana nimeamua kuingia mzima mziam ile niweze kuwa part ya future ya chama, sasa basi nimeingia kwa malengo mawili 1: Kusaidia kukijenga chama 2: kusaidia kutatua matatizo katika jimbo langu la kawe. nimeamua kuweka record straight, mission za vision zangu as well ili hata chama kitambue nakuja kufanya nini sifyatuki tu kama mshale harafu sijui what next hope umenielewa na kama unawezakua na mchango unaweza ongezea ili kuweza saidia nchi yetu kusonga mbele. thanks

wewe ebu acheni kujitekenya BG
 
Umekosea sifa ya kujiunga na ACT kwani sifa kuu lazima uwe Uliwahi kuwa mwanachama wa Chadema , sasa wewe huna sifa ndio maana hata msemaji wao hapa Jf Bethlehem anakukatisha Tamaa kiana .....
 
Mleta mada amekuwa transparent,ambao ni msingi mkuu wa chama!
Sasa Betlehem kama kiongozi mwandamizi hataki hii transparency!
Hapa hamna tumaini japo nami nitajiunga ACT kumg'oa Tundu Lissu Singida!
 
mkuu, kama unaweza hebu jitahidi kupunguza kuzusha na kunung'unika!
 
Mleta mada amekuwa transparent,ambao ni msingi mkuu wa chama!
Sasa Betlehem kama kiongozi mwandamizi hataki hii transparency!
Hapa hamna tumaini japo nami nitajiunga ACT kumg'oa Tundu Lissu Singida!

karibu mkuu tuijenge nchi pamoja sasa ni jukumu la viongozi wa ACT kujitokeza na kufanya mawasiliano na pia kujitangaza zaidi, na pia kuelekeza wapi office zilipo ili tukisukume chama kwenda mbele. viongozi ACT tafadhalini jitokezeni tuwasiliane
 
watumie email uwaulize maswali yako yote, huo ndio ushauri wangu.
 
Back
Top Bottom