TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,764
- 1,836
Asante mkuu
The point is WATAFUTE PESA.
Ila hiyo paragraph ya mwisho UMEWASHAURI WAOE ILI IWEJE SASA?
#YNWA
Hiki kipande kingeandikwa kinyume chake na uzi angekuwa kaanzisha jinsia ke angerushiwa mawe ya kutosha na malaika wa kiume wa JF!Hii ni kwa vijana wenzangu wapambanaji, kamwe usiruhusu mwanamke/msichana ambaye baba ake ni maskini hajiwezi kwa lolote akutoe wewe kasoro kisa humpi pesa.
Hiki kipande kingeandikwa kinyume chake na uzi angekuwa kaanzisha jinsia ke angerushiwa mawe ya kutosha na malaika wa kiume wa JF!
Wamekusikia mkuu,umeongea kwa hasira sana!
Hakuna?acha kujitekenyaHakuna mwanaume anaomba pesa mwanamke [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna?acha kujitekenya
Kelele
Umekuja Tena kutufanyia fujo na nilishakuonya!.. joanah acha fujo mama.Hiki kipande kingeandikwa kinyume chake na uzi angekuwa kaanzisha jinsia ke angerushiwa mawe ya kutosha na malaika wa kiume wa JF!
Usiseme hakuna sasaSio kujitekenya binafsi siwezi.
Sasa pisi and lavu ndo utuchambe hivyo..? Kaa kwa kutulia alasivyo mabanzi ya shingo yatatua mpaka uvimbiwe!
Kwa hiyo unanitisha hadharani?Sasa pisi and lavu ndo utuchambe hivyo..? Kaa kwa kutulia alasivyo mabanzi ya shingo yatatua mpaka uvimbiwe!